Kwahiyo ndio tumeshakubaliana kwamba barakoa za vitambaa nazo zinatukinga?

Unazifahamu satini Bonny au umeona tu mahali imeandikwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah hzi mask zimekua adimu na expensive,

Sent using Jamii Forums mobile app

Ila nilichogundua baada ya kufanya utafiti wangu mitandaoni, ukiwa na mask nzuri kama n95 au hizi ffp unaweza kuitinga hata mwezi na bado ikawa katika ubora wa juu sema labda itachafuka tu. Hiyo wanayosema kuvaa masaa manne nadhani ni kwa madaktari wale walioko maeneo hatarishi. Cha maana ni kwamba N95 hata uivae wiki mbili bado itakua na uwezo mkubwa zaidi wa kukukinga na virusi kuliko mask ya kitambaa.
 
Barakoa 5 kwa siku ni elfu 12,500.Si heri kukaa ndani tu maana kwa msosi wa siku hiyo hela inatosha
 
Yeah N95 kama hauna mizunguko ming sana na hauend maeno hatarishi kama yalivyoainishwa na wataalamu ni bora ukawa nayo hyo...

Otherwise routine ya kubadlisha kila baada ya 4 hours inabd ihusike


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiweza kui sterilize unatinga hata miezi sita

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuendekeza ujinga

Maccm yamepandikiza ujinga kila mahali










kush and Wisdom
 
Hadi taasisi za umma zinagawia watumishi barakoa zilizoshonwa na waswahili kwa vitambaa vya shati za shule za vijana wetu
Wanaposema hili ni taifa la watu maskini huwa mnadhani wanatania.

Maccm kila siku kazi kujisifu tumenunua ndege tumejenga madaraja wakti sekta ya afya ipo taabani








kush and Wisdom
 
Tatizo ni umasikini wa kutupwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…