Kwahiyo Ndugai na Chamuriho ndio mliutaka Urais miaka 2 iliyopita?

Miaka miwili iliyopita siku kama hizi hawa mabwana wawili Chamuriho na Ndugai waliutaka Urais kwa udi na Uvumba

Ndugai alikua ashajiandaa kabisa kuwa Rais na kukaa ikulu Chamuriho naye aliahidiwa Uwaziri mkuu

Lakini Mungu sio Bashiru wala John Pombe walotaka hayakua leo hii Rais ni Samia Suluhu Hassan watake na wasitake

Zile zama za kutekwa kupotea na kupigwa risasi hazipo tena, nchi imetulia kila mtu anafanya Siasa za kistaarabu atakavyo

Kwa ujumla tunaweza kusema kuwa Legacy ya yule bwana imefutika na kupotea mazima!!Sasahivi wananchi wanaujua ukweli kuhusu yule bwana

Ndugai na Chamuriho mnastahili aibu na anguko mlilolipata,huyu Chamuriho naye ni wa kumuhoji hayo mabilioni aloyajaza kwenye akaunti za nje aseme alizitoa wapi!!

Huyu na hayati walikua chanda na pete, huyu nae walishirikiana na hayati kuzidisha mapesa ya miradi ili wapige kupitia makampuni yao uchwara

Awamu ya 5 nchi ilinuka ufisadi wa hayati Magufuli, pesa ziliwajaa kufuru hadi wakaenda kuzificha China, Canada, na Malaysia.

Hata mshipa wa aibu hakua nao,nyingine zilikutwa Chato zimejazwa kwenye mifuko na majaba aibu kweli, tena nyingi zilikua ni dola za kimarekani,huku akituambia tuwapuuze mabeberu na vibaraka wao huku yeye akijaza dola za kimarekani huko kwenye mifuko na majaba Chato halafu kuna watu wanaamini eti alikua Rais wa Wanyonge!!

Wanyonge wa hayati ni kina Bashiru, makonda labda,Uharibifu alotia kwenye taifa huyu mwendazake itachukua miaka mingi nchi kujiponya hadi leo najiuliza ilikuaje akawa Rais?
Udini unatoa mtu fahamu! Unaboa
 
Legacy haupotei kwa sababu ameacha physical infrastructure nyingi mno. Utahangaika sana kupoteza legacy ya mtu kama huyo.
Mama bado hajaanza physical infrastructure, labda ataanza miaka ijayo au after 2025.
 
Miaka miwili iliyopita siku kama hizi hawa mabwana wawili Chamuriho na Ndugai waliutaka Urais kwa udi na Uvumba.

Ndugai alikuwa ashajiandaa kabisa kuwa Rais na kukaa Ikulu Chamuriho naye aliahidiwa Uwaziri Mkuu, lakini Mungu siyo Bashiru wala John Pombe waliotaka hayakuwa leo hii Rais ni Samia Suluhu Hassan watake na wasitake.

Zile zama za kutekwa, kupotea na kupigwa risasi hazipo tena, nchi imetulia kila mtu anafanya Siasa za kistaarabu atakavyo.

Kwa ujumla tunaweza kusema kuwa Legacy ya yule bwana imefutika na kupotea mazima! Sasahivi wananchi wanaujua ukweli kuhusu yule bwana.

Ndugai na Chamuriho mnastahili aibu na anguko mlilolipata, huyu Chamuriho naye ni wa kumuhoji hayo mabilioni aloyajaza kwenye akaunti za nje aseme alizitoa wapi!

Huyu na Hayati walikuwa chanda na pete, huyu nae walishirikiana na hayati kuzidisha mapesa ya miradi ili wapige kupitia makampuni yao uchwara.

Awamu ya 5 nchi ilinuka ufisadi wa Hayati Magufuli, pesa ziliwajaa kufuru hadi wakaenda kuzificha China, Canada, na Malaysia.

Hata mshipa wa aibu hakua nao, nyingine zilikutwa Chato zimejazwa kwenye mifuko na majaba, aibu kweli. Tena nyingi zilikua ni Dola za Kimarekani, huku akituambia tuwapuuze mabeberu na vibaraka wao huku yeye akijaza Dola za Kimarekani huko kwenye mifuko na majaba Chato halafu kuna watu wanaamini eti alikuwa Rais wa Wanyonge!

Wanyonge wa Hayati ni kina Bashiru, Makonda labda, uharibifu aliyotia kwenye taifa huyu mwendazake itachukua miaka mingi nchi kujiponya, hadi leo najiuliza ilikuaje akawa Rais?
Nachojiuliza alipanga kwenda zitumia wapi hizo fedha,manake Kama ni bata,hakuwa mlaji Bata,bado alikuwa na ushamba wa kisukuma,mtu anakuwa na ng'ombe wengi ila anaishi kifukara tu 😅😅🏃
 
Watu wanaojinadi wameridhiana Ili Nchi itulie, ndo hao Kila kukicha wanaotukana na kudhalilisha wengine.

Kuna kitu mnakitafuta, Si Bure.
 
Miaka miwili iliyopita siku kama hizi hawa mabwana wawili Chamuriho na Ndugai waliutaka Urais kwa udi na Uvumba.

Ndugai alikuwa ashajiandaa kabisa kuwa Rais na kukaa Ikulu Chamuriho naye aliahidiwa Uwaziri Mkuu, lakini Mungu siyo Bashiru wala John Pombe waliotaka hayakuwa leo hii Rais ni Samia Suluhu Hassan watake na wasitake.

Zile zama za kutekwa, kupotea na kupigwa risasi hazipo tena, nchi imetulia kila mtu anafanya Siasa za kistaarabu atakavyo.

Kwa ujumla tunaweza kusema kuwa Legacy ya yule bwana imefutika na kupotea mazima! Sasahivi wananchi wanaujua ukweli kuhusu yule bwana.

Ndugai na Chamuriho mnastahili aibu na anguko mlilolipata, huyu Chamuriho naye ni wa kumuhoji hayo mabilioni aloyajaza kwenye akaunti za nje aseme alizitoa wapi!

Huyu na Hayati walikuwa chanda na pete, huyu nae walishirikiana na hayati kuzidisha mapesa ya miradi ili wapige kupitia makampuni yao uchwara.

Awamu ya 5 nchi ilinuka ufisadi wa Hayati Magufuli, pesa ziliwajaa kufuru hadi wakaenda kuzificha China, Canada, na Malaysia.

Hata mshipa wa aibu hakua nao, nyingine zilikutwa Chato zimejazwa kwenye mifuko na majaba, aibu kweli. Tena nyingi zilikua ni Dola za Kimarekani, huku akituambia tuwapuuze mabeberu na vibaraka wao huku yeye akijaza Dola za Kimarekani huko kwenye mifuko na majaba Chato halafu kuna watu wanaamini eti alikuwa Rais wa Wanyonge!

Wanyonge wa Hayati ni kina Bashiru, Makonda labda, uharibifu aliyotia kwenye taifa huyu mwendazake itachukua miaka mingi nchi kujiponya, hadi leo najiuliza ilikuaje akawa Rais?
Kama Legacy ya Mwamba Magufuli imefutika huu Uzi wa nini? Pumbavu!!!
 
Hakika Tanzania ilipata rais mbaya kupindukia aliyekuwa amejivisha ngozi ya kondoo na kasha la wanyonge!
 
Unamzungumzia marehemu asiye weza kukujibu chochote,amelala mazima wala hataamka tena.

Shughulika na waliopo kushughulika na hamna ni upotevu wa muda usio na msingi wowote mkuu, tafuta pesa mkuu legacy yako italindwa na chawa wako.

Narudia tafuta hela mengine ni mbwembwe tu.

Ukifa mate do yako yanakufuata. Wewe umuuwe Saanane halafu tusiseme kisa umekufa? Angelijua Hilo asinge uwa.
 
Sawa nyie tukaneni tu, ila muwe mmeshaandaa sehemu za kukimbilia soon.

Hakimbii mtu, ukileta ujinga wa Magu karma inakuondoa moja kwa moja. Nchi ni ya watanzania sio kundi la watu wachache. Huwezi kuongoza watu Kama watoto wako nyumbani. Stupid magufuli
 
Tuwekre ushahidi ili kulinda Heshima ya JFs
Huu hapa
IMG-20230201-WA0016.jpg
 
Legacy haupotei kwa sababu ameacha physical infrastructure nyingi mno. Utahangaika sana kupoteza legacy ya mtu kama huyo.
Mama bado hajaanza physical infrastructure, labda ataanza miaka ijayo au after 2025.

Kama infrastructure Marais wote wamejenga, yeye sio wa kwanza. Legacy aliyoiacha ni kuuwa Raia wake na kuwatupa kwenye viroba.
 
Back
Top Bottom