Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
Nimekuelewa🙏🙏Hakuna cha wajuzi wa siasa za kimataifa hapa, ukwel mchungu ni kwamba dunia inahiitaji china kuliko marekani, hata marekani analijua hlo, wall street na silcon valley ziliamia china kwa muda.
Nani alimfata mwenzake?Ni Trump aliyeomba kukutana au Xi?!!!
Ni nani aliomba wakutane kule china? Trump au Xi?!!
Wajuzi wa mambo ya kimataifa nijukisheni tafadhali.
Maelezo mazuri. Inapendeza kuona majeuri yanalambishwa mchangaNani alimfata mwenzake?
Aliyemfata mwenzake ndiye aliyeomba kukutana.
Kwa ego aliyonayo Trump kama Xi ndo angeomba kukutana na Trump ungeona Trump kashasamabaza taarifa za kuombwa na China all over the world.
Kwahiyo mpaka hapo unajua Trump ndo aliyeomba mkutano.
In fact,Ni Trump aliyeomba kukutana au Xi?!!!
Ni nani aliomba wakutane kule china? Trump au Xi?!!
Wajuzi wa mambo ya kimataifa nijukisheni tafadhali.
SawaIn fact,
miezi kadhaa iliyopita Xi alikuwepo Marekani kwa mualiko wa Mzee Trump, na makubaliano yalikua na Mzee Trump aizuru China nadhani February au March mwaka huu 2026, lakini iliahirishwa kwa muda isiyojulikana, nadhani kwasababu za mambo yale ya Venezuela na Irani.
Ila ughafla wa Mzee Trump kuomba kuiziru China ndio umeibua hisia mseto na maswali mengi sana, kubwa zaidi linalozungumzwa ni kwamba, ziara ya Mzee Trump China ina msukumo wa uzito na ugumu wa vita vya Irani.
Mzee Trump ni kama vile kaenda kumshika mkono na kumuomba sana Xi, asiisaidie wala kuiuzia Irani chochote.
Kwa maelezo hayo,
ni wazi Mzee Trump ndie aliemuomba Xi mkutano, na sababu kubwa ikiwa ni Irani isiyotabirika 🐒
HahahaaaChochote inachofanya Marekani ni kwa maslahi ya Marekani yenyewe. Marekani ikikubali ufanye ziara kwao ujue imeona fursa, na yenyewe ikifanya ziara kwako ujue imeona fursa. Mengine tuendelee tu kupoteza muda kuyajadili
karibu sanaSawa
Ilikuwa ziara ya siri au?In fact,
miezi kadhaa iliyopita Xi alikuwepo Marekani kwa mualiko wa Mzee Trump, na makubaliano yalikua na Mzee Trump aizuru China nadhani February au March mwaka huu 2026, lakini iliahirishwa kwa muda isiyojulikana, nadhani kwasababu za mambo yale ya Venezuela na Irani.
Ila ughafla wa Mzee Trump kuomba kuiziru China ndio umeibua hisia mseto na maswali mengi sana, kubwa zaidi linalozungumzwa ni kwamba, ziara ya Mzee Trump China ina msukumo wa uzito na ugumu wa vita vya Irani.
Mzee Trump ni kama vile kaenda kumshika mkono na kumuomba sana Xi, asiisaidie wala kuiuzia Irani chochote.
Kwa maelezo hayo,
ni wazi Mzee Trump ndie aliemuomba Xi mkutano, na sababu kubwa ikiwa ni Irani isiyotabirika
ya nani hiyo gentleman?Ilikuwa ziara ya siri au?
Hyo ya xi to usaya nani hiyo gentleman?
80% ya maccm ni mapunguani wallahya nani hiyo gentleman?