Kwahiyo Peter Msechu anaumia wakifa viongozi tu ila hili la Kariakoo halijamuuma?

Kwahiyo Peter Msechu anaumia wakifa viongozi tu ila hili la Kariakoo halijamuuma?

Kama mpambaji msibani analipwa, mpishi analipwa, msema chochote analipwa, kwa nini mwimbaji asilipweeeeee tafakari chukuwa hatua
 
Yule sio wakifa viongozi, pale alipo atakilala tu anaumia
 
Kwani lazima aimbe yeye? Hata wasanii wengine wanaeza kuimbq
 
Unamuonea tu bure, ni yupi msanii kuacha yule aliyejitokeza kuomba michango aliyeshiriki? Hata viongozi wa dini tu walikaa kimya.
 
Back
Top Bottom