comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Siamini Yani aiseeWameanza uchoyo
🤣🤣🤣🤣Leo nimejipanga kumtafuna fatuma wangu kaniambia kesho na hisi kesho ataniambia jana
Yaani Sheikh umeona nikija kupiga Ubwabwa ntawamalizia au?Na nyie kwaresma jifanyeni kuna ya walokole na wa sabato ili muweze kupiga chenga
Pasaka haiko mbaliSiamini Yani aisee
Wametupiga chenga ya mwiliSiamini Yani aisee