Kwahiyo RAFIKI zetu waislamu mmeamua kutuchanganya

Wengine mmeanza iddi Leo wengine mnasema iddi Kesho, ili tukija kutaka Kula Biriani Leo mseme iddi ni Kesho, na tukija Kesho msema ilikua Jana, acheni uchoyo aisee ndugu zangu katika Imani Sisi NI ndugu.

Halafu kumbe kuna mwezi wa kimataifa na mwezi wa kitaifa nilikua sijui.View attachment 3287700
Daaah, mwanangu umenichekesha kichizi. Jamaa wamebana kote kote😅😅😅😅...ukienda leo bila bila kesho napo bila bila
 
Wengine mmeanza iddi Leo wengine mnasema iddi Kesho, ili tukija kutaka Kula Biriani Leo mseme iddi ni Kesho, na tukija Kesho msema ilikua Jana, acheni uchoyo aisee ndugu zangu katika Imani Sisi NI ndugu.

Halafu kumbe kuna mwezi wa kimataifa na mwezi wa kitaifa nilikua sijui.View attachment 3287700
Kwa ntaji huu hawa hata huko peponi wanaweza kulenga kusiko.
 
SAsa hv ni kwalezima, lkn wanaoshobokea sana sana ni roman catholic, kanisa. La mwingila efatha wao wanafunga mwezi wa 5. Kanisa halisi la mungu baba, wao. Hawafungi kabisa na hawaitambui hiyo kwalezima, wanakuambia haijaandikwa kwenye biblia
 
Back
Top Bottom