Kwahiyo RAFIKI zetu waislamu mmeamua kutuchanganya

Daaah, mwanangu umenichekesha kichizi. Jamaa wamebana kote koteπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…...ukienda leo bila bila kesho napo bila bila
 
Kwa ntaji huu hawa hata huko peponi wanaweza kulenga kusiko.
 
SAsa hv ni kwalezima, lkn wanaoshobokea sana sana ni roman catholic, kanisa. La mwingila efatha wao wanafunga mwezi wa 5. Kanisa halisi la mungu baba, wao. Hawafungi kabisa na hawaitambui hiyo kwalezima, wanakuambia haijaandikwa kwenye biblia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…