R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 52,815 Reaction score 103,955 Oct 29, 2026 #1 Sasa inakwenda mwaka! Hakuna X MPAKA kwa mbinu zako kuopata. Kwanini mnawatesa wananchi kukosa habari? JISAHIHISHE
Sasa inakwenda mwaka! Hakuna X MPAKA kwa mbinu zako kuopata. Kwanini mnawatesa wananchi kukosa habari? JISAHIHISHE
The Family Wallet JF-Expert Member Joined Jul 30, 2021 Posts 5,849 Reaction score 9,643 Oct 29, 2026 #2 Hawana cha kupoteza
kimbendengu JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 8,394 Reaction score 16,128 Oct 29, 2026 #3 SIKU AMBAYO NYANI ATAGOMBEA URAIS NDIPO NITAKWENDA KUPIGA KURA!!!! FIKIRIA UNAKWENDA HOSPITAL UNATAKA MWILI WA MAREHEMU UNAAMBIWA KWENYE KARATASI ANDIKA AMEKUFA KWA MALARIA SIO KWA KUPIGWA RISASI
SIKU AMBAYO NYANI ATAGOMBEA URAIS NDIPO NITAKWENDA KUPIGA KURA!!!! FIKIRIA UNAKWENDA HOSPITAL UNATAKA MWILI WA MAREHEMU UNAAMBIWA KWENYE KARATASI ANDIKA AMEKUFA KWA MALARIA SIO KWA KUPIGWA RISASI