MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
"Jaji tutaendelea nae japo hatumwamini, hatumkubali na tunajua amefanya maamuzi yasiyokuwa ya haki. Tunawaomba wananchi muendelee kuja kwa wingi kufuatilia kesi hii ili kuendelea kuwaona Mashahidi wa michongo, Mawakili wa michongo na Majaji wa michongo." Mhe.
@jjmnyika
Chanzo: CHADEMA Tanzania
Kuna Watu mnadhani mnatatua kumbe Kauli zenu ndiyo Chanzo Kikuu cha Kujimaliza wenyewe katika Kesi hii bila kujua.
Hivi Kiongozi mkubwa ndani ya Chama unapotamka hadharani kuwa huna Imani na Majaji waliopo katika Kesi yako Kisaikolojia hapo unawatia Moyo au ndiyo unawapa Hasira za Kukukomoa zaidi?
Akina KEROZENE tukiwashauri Mambo hapa mnatuchukia na kudhani Harakati zenu za Ushawishi wa humu Mitandaoni pekee ndiyo zitawatosheni. Sawa tutaendelea Kufurika ( Kujaa ) hapo Mahakamani kama ulivyotutaka ili Ndugu yetu atoke kwani kumbe Siku hizi Hukumu za Watuhumiwa katika Mahakama za Tanzania zinaamuliwa kwa Uwingi wa Watu waliojazana na kamwe siyo Vifungu vya Sheria na Ushahidi wa kutosha.