Kwahiyo tusipopita kwenye Qualifiers stage Hatuchezi AFCON ata kama ni Wenyeji au Tutapendelewa?

Kwahiyo tusipopita kwenye Qualifiers stage Hatuchezi AFCON ata kama ni Wenyeji au Tutapendelewa?

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,566
Reaction score
104,386
Ili group naona sipo poa. Mfano tukawa wa 3 au 4 baada ya mechi zote?
264.png
 
Ili group naona sipo poa. Mfano tukawa wa 3 au 4 baada ya mechi zote?View attachment 3677128
Tanzania imeshafuzu moja kwa moja.

Hapo hizo Mechi ni kufanya Timu mwenyeji kujiimarisha na mechi za kiushindani.

Kwa hilo group timu zinaenda 2.
Na tayar TZ ishaenda.
Hivyo ikiwa ya kwanza au ya pili inaenda.
Vile vile ikiwa ya mwisho. Basi yule namba 1 anaenda pamoja na TZ.
Namba 2 haendi.
 
Hapo sawa. Shukrani mkuu.
 
Back
Top Bottom