Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
huyu dogo matege ni beki kisiki balaa. ila yanga hawana mfungaji, ningekuwa kwenye timu ya usajili, ningemfuta kabisa musonda na mzize. wazito utafikiri miguu yao imebeba magunia. huwa sielewi kwanini yanga wanampanga clement mzize au kwasababu mrefu? ufefu kama hauna akili ni sawa na alivyokuwa mwaikunda enzi zile. bure kabisa.Baada ya mshambuliaji Mayele kuuzwa kwa lazima tukatangaziwa kwa mikogo mingi na huyo kijana anayeitwa Kamwe , kwamba timu hiyo italeta striker wa hatari !
Lakini Ukweli ni kwamba Waliosajiliwa ni magarasa tu , hamna kitu na ndio maana wanachomeshwa mahindi
View attachment 2723005
Ujue Kwanza mpiraHiyo unayosema hakuna ilikupiga 2 kwenye ligi na Ngao ya jamii ukaambulia hewa
Huwezi kumshauri aliyekufungaUjue Kwanza mpira
Usiniwekee mipakaHujui mpira mkuu,
Wewe nenda katuletee habari za Wilbroad Slaa na kina Mwabukusi huku hukuwezi
Swali lako ni rahisi sana !wewe unaweza kucheza?
Hahahah [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196]
Punguza makasiriko mkuuNi mapema sana kwa mtu kama mimi kukubaliana na hizi shutuma zako. Maana timu ina zaidi ya mchezaji mmoja kwenye kila namba.
Hivyo mwalimu ndiye mwamuzi wa mwisho wa kuamua nani aanze, nani akae benchi. Na mwisho wa siku kinachotakiwa ni timu kupata matokeo. Na si vinginevyo.
Kumbuka Yanga siyo kama timu yako ya simba, ambayo Moses Phiri na Chama wasipocheza, basi kelele nchi nzima! Yaani utafikiri hakuna wachezaji wengine mbadala!!
Mkuu hata Kono kono??Baada ya mshambuliaji Mayele kuuzwa kwa lazima tukatangaziwa kwa mikogo mingi na huyo kijana anayeitwa Kamwe , kwamba timu hiyo italeta striker wa hatari !
Lakini Ukweli ni kwamba Waliosajiliwa ni magarasa tu , hamna kitu na ndio maana wanachomeshwa mahindi
View attachment 2723005
Jifunze mpira humu inahitajika uujue mpira..Huwezi kumshauri aliyekufunga
Wewe ndo hujui mpira rudi darasaniJifunze mpira humu inahitajika uujue mpira..
Jifunze mpiraWewe ndo hujui mpira rudi darasani
Acheni ubaguzi , kwahiyo sisi wa siasa haturuhusiwi huku ?Unafanya vyema kwenye jukwaa la siasa
Kuwa makini usije kujishushia heshima huku sports hupawezi
Sent using Jamii Forums mobile app