Kwahiyo wale Washambuliaji Tulioaminishwa ndio Warithi wa Mayele bado Muunganiko unakataa?

Kwahiyo wale Washambuliaji Tulioaminishwa ndio Warithi wa Mayele bado Muunganiko unakataa?

Baada ya mshambuliaji Mayele kuuzwa kwa lazima tukatangaziwa kwa mikogo mingi na huyo kijana anayeitwa Kamwe , kwamba timu hiyo italeta striker wa hatari !

Lakini Ukweli ni kwamba Waliosajiliwa ni magarasa tu , hamna kitu na ndio maana wanachomeshwa mahindi

View attachment 2723005
huyu dogo matege ni beki kisiki balaa. ila yanga hawana mfungaji, ningekuwa kwenye timu ya usajili, ningemfuta kabisa musonda na mzize. wazito utafikiri miguu yao imebeba magunia. huwa sielewi kwanini yanga wanampanga clement mzize au kwasababu mrefu? ufefu kama hauna akili ni sawa na alivyokuwa mwaikunda enzi zile. bure kabisa.
 
Dah Utopolo wanapingana wenyewe kwa wenyewe na ligi hawajaanza.
 
Ni mapema sana kwa mtu kama mimi kukubaliana na hizi shutuma zako. Maana timu ina zaidi ya mchezaji mmoja kwenye kila namba.

Hivyo mwalimu ndiye mwamuzi wa mwisho wa kuamua nani aanze, nani akae benchi. Na mwisho wa siku kinachotakiwa ni timu kupata matokeo. Na si vinginevyo.

Kumbuka Yanga siyo kama timu yako ya simba, ambayo Moses Phiri na Chama wasipocheza, basi kelele nchi nzima! Yaani utafikiri hakuna wachezaji wengine mbadala!!
Punguza makasiriko mkuu
 
Baada ya mshambuliaji Mayele kuuzwa kwa lazima tukatangaziwa kwa mikogo mingi na huyo kijana anayeitwa Kamwe , kwamba timu hiyo italeta striker wa hatari !

Lakini Ukweli ni kwamba Waliosajiliwa ni magarasa tu , hamna kitu na ndio maana wanachomeshwa mahindi

View attachment 2723005
Mkuu hata Kono kono??

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Back
Top Bottom