Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Katika jezi za batiki za utopolo zile nyeusi kuna rangi nyeupeeee, nyeupe ni rangi ya simba.
Yanga haijawahi na haina utamaduni wa kuwa na rangi nyekundu wala nyeupe ila hizi batiki za msimu huu hasa zile nyeusi zina rangi nyeupe yenye maandishi ya mcheza kamari.
Ss hv GSM kila anachokifanya pale yanga hata kama sio utamaduni wa Yanga ali mradi yanga wanasajili wachezaji wakubwa potelea mbali.
Wamechukua watu wa simba mashabiki wamekubali, ss hv wanavalishwa jezi zenye rangi nyeupe.
Yaan simba avae jezi zenye rangi nyeusi au njano, never on earth.
Mwenye akili ni Magoma Shaaban tu