Kwahiyo Yanga siku hizi mna jezi zenye rangi nyeupe, kweli GSM kiboko

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Katika jezi za batiki za utopolo zile nyeusi kuna rangi nyeupeeee, nyeupe ni rangi ya simba.

Yanga haijawahi na haina utamaduni wa kuwa na rangi nyekundu wala nyeupe ila hizi batiki za msimu huu hasa zile nyeusi zina rangi nyeupe yenye maandishi ya mcheza kamari.

Ss hv GSM kila anachokifanya pale yanga hata kama sio utamaduni wa Yanga ali mradi yanga wanasajili wachezaji wakubwa potelea mbali.

Wamechukua watu wa simba mashabiki wamekubali, ss hv wanavalishwa jezi zenye rangi nyeupe.

Yaan simba avae jezi zenye rangi nyeusi au njano, never on earth.

Mwenye akili ni Magoma Shaaban tu
 
Kazia hapo hapo kwenye utamaduni bila kujua mnajifungia wigo wa ubunifu..Simba ikiendelea ivo mtakosa ladha ya jezi mpya maana rangi zitakua zile zile tofaut vistari na kola tu..badilikeni,ndo maana ua ubunifu ni kufanya kitu tofaut na mazoea
 
Utopwinyo mmesha sahau kuwa mliikataa nembo ya mdhamin kisa ni ya rangi nyekundu
 
Tunamsikiliza zaidi Mganga wetu wa Kienyeji kutokana na Nyota ya Timu na pia kwa Msimu ujao? Isikuhangaishe Mkuu.
 
Kazia hapo hapo kwenye utamaduni bila kujua mnajifungia wigo wa ubunifu..Simba ikiendelea ivo mtakosa ladha ya jezi mpya maana rangi zitakua zile zile tofaut vistari na kola tu..badilikeni,ndo maana ua ubunifu ni kufanya kitu tofaut na mazoea
Kabisa mkuu
 
Ni nyie ndio mnaogopa rangi si mbona tunavaa fresh kabisa tena Uzi umetulia sana zote 3
Cha msingi ni trh 8 tukuvingirishe kwenye jezi Yako tumkabidhi Mangungu ye atajua pa kukupeleka
Hiyo para ya mwisho mkuu ungesema tuwavingirishe kwenye Sanda yao!
 
Weel mvaa Sanda .....Umeona kono la nyani kwenye ile jezi ya njano
Ma CCM yataendelea kuitafuna hii nchi mpaka yesu atakapo rudi..vijana muda wote wanajadili Upumbavu wa simba na yanga.. Mambo ya msingi katika Taifa hawana muda nayo.
 
Tupia hizo nyuzi za Yanga
 
Hiyo para ya mwisho mkuu ungesema tuwavingirishe kwenye Sanda yao!
Kuna saa hadi unawahurumia Hawa watu kupunguza ukali wa maneno imagine bodi yenye wasomi kabisa wakakubali neno Sanda liwe kifuani tena mbele halafu jezi ni nyekundu na nyeupe πŸ€”πŸ€”πŸ€”au wamemaanisha wanakuja kuzika kweli hii team !!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…