glass amo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2017
- 3,854
- 4,692
SikupingiNadhani hajailipia kwa sababu ile trending ya watu kuingia kwenye web/blogs kusoma habari imepitwa na wakati.
SikupingiNadhani hajailipia kwa sababu ile trending ya watu kuingia kwenye web/blogs kusoma habari imepitwa na wakati.
Aah sana🫣Ccm watamlipia
Ova
Huyu jamaa sifatili habari zakeAah sana🫣
Watu wanakesha Twitter, insta na TikTok, sema wenye viroho vya korosho sasaNadhani hajailipia kwa sababu ile trending ya watu kuingia kwenye web/blogs kusoma habari imepitwa na wakati.
Acha izo wewe mnasema ivi mwezi wa tatu huuHilo nitatizo la mtandao acha kukurupuka.
Mbona bado kaajiriwa clouds?Kuna mmoja Jana alisema Millard ayo anaingiza mpunga mrefu kweny media yake Ivo tuachane na kilimo tukawe kama Millard
Lile ni andazi mkuu! Halafu jitu linapinga kilimo na ufugaji huku lenyewe bado liko kwa shemeji yake! Linasahau hapa mjini kuna manguli wa ufugaji kuku wanapiga hela kama hawana akili nzuri,Kuna mmoja Jana alisema Millard ayo anaingiza mpunga mrefu kweny media yake Ivo tuachane na kilimo tukawe kama Millard
Mimi nilikuwa naitumia kusoma vichwa vya habari vya magazeti, kwahiyo daily asubuhi nilikuwa naipitia, sasahivi siipati almost 2mothsmkiacha unafiki, nyie mara ya mwisho kuitembelea hiyo website ni lini?
Mbona bado kaajiriwa clouds?
Acha upotoshajikimsingi blog sio kitu kinachotembelewa na wabongo wengi kwa sasa. wengi ni inster, wale wachache facebook na wengi ni youtube na tctoc.
Mueleze nasisi tujue,kama ni muajiriwa wa clouds au yeye ndo mmiliki.Una uhakika na ulicho andika?
Hajaajiriwa analipia airtime paleMbona bado kaajiriwa clouds?