AI BRAINFULL
JF-Expert Member
- Oct 31, 2019
- 2,122
- 5,319
Watu wajanja sana wanacheza na fulsa nje jua kali ila wanasiasa wanatwambia kuna mvua kubwa
Waliosema kuna el nino ni wataalamu wa hali ya hewa siyo wanasiasa .Watu wajanja sana wanacheza na fulsa nje jua kali ila wanasiasa wanatwambia kuna mvua kubwa
Kuna ukame unakuja sio wakitoto! Nadhani wao waliangalia upande mmoja tuu wa mvua! Zaidi ilikuwa ni uzalishaji/uagizaji wa chakula chakutosha ili kuja kudhibiti mfumuko wa bei unaokuja!Watu wajanja sana wanacheza na fulsa nje jua kali ila wanasiasa wanatwambia kuna mvua kubwa
Wewe umepata ngapi?Waliosema kuna el nino ni wataalamu wa hali ya hewa siyo wanasiasa .
Wanasiasa wakatumia fursa hiyo kupiga b 700+!
Za tonetone sikupata.Wewe umepata ngapi?
Mtaendelea kutumikishwa tuZa tonetone sikupata.
Kazi sanaWewe umepata ngapi?
Wao wenyewe hata miamvuli hawanunuiWatu wajanja sana wanacheza na fulsa nje jua kali ila wanasiasa wanatwambia kuna mvua kubwa
Ulivoandika fulsa tu,nikajua ni gen z,gen z ni kizazi pumbavu kupata kutokeaWatu wajanja sana wanacheza na fulsa nje jua kali ila wanasiasa wanatwambia kuna mvua kubwa