Planet Data bundles
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,403
- 4,362
Mwanza mna shida gani??
Huu mji hauna magari kabisa bora Dar
Huu mji hauna magari kabisa bora Dar
Ukihitaji boti ya bei hiyo niambieMwanza mna shida gani??
Huu mji hauna magari kabisa bora Dar
Sina nauliInunue Dar kisha uisafirishe ukatumie huko uliko. Simpo
Mna shida nyieUkihitaji boti ya bei hiyo niambie
Huku sisi hatuna habari na IST
Weka tulioneHiyo pesa njoo nikuuzie tela la trekta tu
Post tuione kama haina kipengele tunaruka nayoIpo suzuki 7.5m