Kwaiyo ndani ya wiki hii kuna mtu anaenda kuokota EMBE DODO CHINI YA MBUYU WA KIJANI?

Kwaiyo ndani ya wiki hii kuna mtu anaenda kuokota EMBE DODO CHINI YA MBUYU WA KIJANI?

BILA SHAKA NI YERICKO NYERERE AU HASHIMU RUNGWE SPUNDA MZEE WA BAHARI MOTORS NA UBWABWA KWA WINGI
 
Au mimi ndio sielewi yanayoendelea uko mjini?
Nchi ishakuwa ngumu mkuu haitawaliki...hakuna enjoyment yyt tena kwenye utawala huo wa dhuruma!

Ni hadi pale watakapo kiri na kuomba msamaha watanzania kwa mauaji ya 29 Oct
 
Back
Top Bottom