Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Tafadhali mkuu Wimborne wetu usibadilike siku ya JUMAPILI.
Wimbo wa hamasa uwe uleule wa Rivers United. Leo ndo leo leo kivumbi na jashooooooo!
Tafadhali usibadilishwe wakodishwe hata wasanii wa kuimbisha.
Twende kazi, mwarabu anakaaa