Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 43,973
- 150,463
Na mimi nimeona umekuja just kwa sababu maalumAcha kabisa rafiki yangu, nimekuwa mpoleeeee....
Hata spidi ya kuja humu imepungua, na leo niko hapa kwa sababu maalum.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mimi nimeona umekuja just kwa sababu maalumAcha kabisa rafiki yangu, nimekuwa mpoleeeee....
Hata spidi ya kuja humu imepungua, na leo niko hapa kwa sababu maalum.
Hongereni Bibi na Babu
Utanenepa sana mwaka huuHaswaaaa, na babu anaifahamu hiyo sababu maalum. 😊
You're seemed happy and enjoying the endless love from the love of your life also celebrating your elderly years together till death however I am not even closer to that.It’s true, but why did you say that ...!???
You're seemed happy and enjoying the endless love from the love of your life also celebrating your elderly years together till death however I am not even closer to that.
Life it doesn't give me favours. 😔
Aahahahahhaaaaa watuuu nimechekaaaaa.....
Huku utakuja kwa mualiko wa Babu, maana yeye ndo mwenye himaya.
Ukipata mualiko usisahau kuja na Msafiri na akuje na ile Nissan nyeupe yake ...😆😆😆😆😆
Happy Thursday sugar sukari ya warembo wa JF 😉.
Leo ni Alhamisi alfajiri...
Nikiwa na akili zangu timamu, natumia safu hii kuutarifu uma wa JF kuwa....
Kasinde ni chombo halali ya Babu kuanzia mwezi Mei 2022.
Baada ya hicho kibwagizo sasa acha niendelee na salamu zangu kwa Babu.
Babu....
Kwanza kabisa nakupenda, najua wajua hilo.
Ulishaniambia kuwa, hili neno nakupenda nilishawaambia wengi huko nyuma ila kwako iwe ndo mwisho. Asitokee mwingine wa kumwambia hivyo hadi pale tutaporudisha namba kwa Muumba.
Butiama ndo makazi yetu mapya na huko ndo tumeamua kustaafu, najua wote (mimi na wewe) si wenyeji wa Butiama ila kwa Mahaba yaliyo kati yetu, Butiama ndo mahala tutaendelea kuzeeshana hadi pale kitapokatikia...
Hakika nakupenda asilani, umeniteka nimekuteka tumetekana.
Vile tumezungukwa na hali ya hewa ya asili, mifugo basi nasikia raha kila kuchwapo uniamshapo kunibariki na kimoko....
Sijilaumu kuchelewa kujuana na wewe ila namshukuru Maulana kwa kunipa haja ya moyo wangu.
Ni wasaaa muafaka tule pensheni zetu kwa afya, raha na maisha yetu na kuwaachia wajukuu zetu urithi maridhawa.
Najua hizi sio pigo zako, ila sikiliza sauti na maneno tuu babu yangu.
Babu, zingatia hapo, “what I feel.....”
Nakupenda Babu yangu mpenzi.
Acha nikakuandalie stafutahi 💕.
Wako mpendwa, Kasie.
NB: 1. wako wataosema kimoyomoyo kuwa na huyu ntaachana tuu.
2. Wengine bibi kilomita zinasoma ngapi
3. Huyu ndo yule wa siku zote / huyu ni mpya / huyu ni yupi.
😊 huyu anaitwa Babu wa Kasie wanaestaafu pamoja kijijini Butiama.
Alhamisi njema. 😉

Nyie wazee wetu wanapoteza penheni zao mapema alafu kutwa kupiga simu kwa vijana wao mjini kudai mipango haiendi..Leo ni Alhamisi alfajiri...
Nikiwa na akili zangu timamu, natumia safu hii kuutarifu uma wa JF kuwa....
Kasinde ni chombo halali ya Babu kuanzia mwezi Mei 2022.
Baada ya hicho kibwagizo sasa acha niendelee na salamu zangu kwa Babu.
Babu....
Kwanza kabisa nakupenda, najua wajua hilo.
Ulishaniambia kuwa, hili neno nakupenda nilishawaambia wengi huko nyuma ila kwako iwe ndo mwisho. Asitokee mwingine wa kumwambia hivyo hadi pale tutaporudisha namba kwa Muumba.
Butiama ndo makazi yetu mapya na huko ndo tumeamua kustaafu, najua wote (mimi na wewe) si wenyeji wa Butiama ila kwa Mahaba yaliyo kati yetu, Butiama ndo mahala tutaendelea kuzeeshana hadi pale kitapokatikia...
Hakika nakupenda asilani, umeniteka nimekuteka tumetekana.
Vile tumezungukwa na hali ya hewa ya asili, mifugo basi nasikia raha kila kuchwapo uniamshapo kunibariki na kimoko....
Sijilaumu kuchelewa kujuana na wewe ila namshukuru Maulana kwa kunipa haja ya moyo wangu.
Ni wasaaa muafaka tule pensheni zetu kwa afya, raha na maisha yetu na kuwaachia wajukuu zetu urithi maridhawa.
Najua hizi sio pigo zako, ila sikiliza sauti na maneno tuu babu yangu.
Babu, zingatia hapo, “what I feel.....”
Nakupenda Babu yangu mpenzi.
Acha nikakuandalie stafutahi [emoji177].
Wako mpendwa, Kasie.
NB: 1. wako wataosema kimoyomoyo kuwa na huyu ntaachana tuu.
2. Wengine bibi kilomita zinasoma ngapi
3. Huyu ndo yule wa siku zote / huyu ni mpya / huyu ni yupi.
[emoji4] huyu anaitwa Babu wa Kasie wanaestaafu pamoja kijijini Butiama.
Alhamisi njema. [emoji6]
Duh.!Leo ni Alhamisi alfajiri...