Kwako babu seya: tutawapa mtaji wa ml.300 hivi pigeni mziki wenu kwa Mara ya kwanza uwanja wa Taifa kiingilio 10000

Wanatakiwa washike njia ya kuelekea kwao Congo. Hii Bongo haiwafai tena
Kama walikuingilia wewe kinyume na maumbile una haki ya kusema hayo unayosema,lakini kumbuka kusamehewa kwao kulitokana na sababu nyingine zilizoonesha kesi ilikuwa na figisu figisu ingawa mh.Rais hawezi kusema.Na kumbuka mh.Rais anazo taarifa kamili kuhusu nini kilikuwa kinaendelea na hekima imechukua mkondo wake
 
Ukiona mtu anakimbilia kujibu hoja kimkund...mkund... like you badala ya kujenga hoja ujue amezowea kutiwa himself. I think U need to be fucked up in your hole. I dont https://jamii.app/JFUserGuide people like U find someone else
 
Kama muda wao kuishi huku Tz ulikuwa umeisha walikuwa wanafanya nn magereza haki za wafungwa zinasemaje kuhusu hili

Unataka kutulisha kasumba tuamini ukiwa magereza hauko Tanzania na ukitoka unakuwa uko Tz na unahojiwa kuhusu uraia

Huko gerezani walikuwa hawalioni hili

Kama ikigundulika tuliwashikilia kimakosa na uraia wao ulikuwa umekwisha kisheria walipaswa wapelekwe kwao huko ndyo wataamua wawafanye nn

Huwezi kumfunga MTU kifurushi kisicho na kikomo gerezani wakati kifurushi chake cha uraia ni MB7

Nikukumbushe tu kilichowatoa gerezani ni msukumo wa kisiasa siyo Roho nzuri ya raisi huo ndyo ukweli
 
Naona Dr shika bado anakimbiza sijui kama bado Wana kiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…