kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Kama walikuingilia wewe kinyume na maumbile una haki ya kusema hayo unayosema,lakini kumbuka kusamehewa kwao kulitokana na sababu nyingine zilizoonesha kesi ilikuwa na figisu figisu ingawa mh.Rais hawezi kusema.Na kumbuka mh.Rais anazo taarifa kamili kuhusu nini kilikuwa kinaendelea na hekima imechukua mkondo wakeWanatakiwa washike njia ya kuelekea kwao Congo. Hii Bongo haiwafai tena