chapashuka
Member
- Jan 15, 2015
- 10
- 24
Niwaombe wana Jamii Forum wasaidie kufikisha ujumbe huu kwa kiongozi yoyote wa SSC kama wapo humu.
Madam Barbara : Tatizo la Simba ni moja tu fanyia kazi hili haraka sana,
1: Mpaka muda huu Simba imezidiwa propaganda kwenye Social Media, Redio na TV stations
Simba sasa hivi imekuwa inapewa Sifa na Maneno ya hovyo na watu wenye access za kukaa kwenye Media na kusikilizwa hili ni tatizo anatakiwa awepo mtu mwenye kaliba hiyo ambaye leo likisemwa hili kesho mapema anaenda kulikanusha vikali hii itasaidia kuondoa ile sintofaham na kulinda Brand ya Simba ,
Kupitia hizo Platform timu ya Simba imeaminishwa ni mbovu na aiwezi tena kucheza Mpira hili tatizo limefika tayari kwa wachezaji mda mrefu wachezaji wamepoteza confirdence, concentration imepungua yaani wanacheza huku wakifikiria nini kitaongelewa baada ya mechi kutoka kwa hao wasemaji wa Mpira kwenye vyombo vyao,
Kwa sasa limefika kwa Mashabiki hii ni Mbaya Zaidi,Mashabiki hawaamini tena wafungaji wao akianza John baada ya Mda wanamtaka Meddie akianza Meddie the same wanamtaka John hawa watachezaje mpira kwa Presha hii
Najua tunayo App, Instagram na Twitter ila hii ni vita tusitegemee silaha tulizonazo tuanatakiwa twende mbali Zaidi kuwafikia wapenzi wa Simba hasa wale wa kusikia
Ombi langu atafutwe haraka mtu wa kusimamia Brand ya Simba najua naeleweka nikisema Brand sio mtu wa kuongea tu akiona Camera hayo waachiwe mashabiki nje ya uwanja
Binafsi nna uhakika kabisa Ezekiel ameachaa Report yake hapo Mezani kwako ya kile kinatakiwa kifanyike pitia tena hiyo report kaa na wasahuri wako fanyieni kazi,

<SIMBA NGUVU MOJA>