EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] [emoji196][emoji196] bhana yaani kuwa mbele kwa points 5 mnajiona mpo juu???Simba kwakweli msimu huu mkae pembeni mchukue peni na note book muangalie jinsi gani wananchi wanapiga pira sakafu pira busati
Mkuu tumefanyaje tena ??[emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ila watu
Yanga hii inabeba makombe yote ya ndani.[emoji1787][emoji1787][emoji196][emoji196][emoji196] mtafukuzana nawaambia ngojeni muone
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]tuoneYanga hii inabeba makombe yote ya ndani.
Kwa hiyo unaamini ya msimu uliopita yatajirudia??Wacha majungu, Msimu uliopita mechi 4 za kwanza tulipata pointi 4.
Msimu huu mechi 4 za kwanza tumepata pointi 8.
Huoni kuwa msimu huu tumeanza vizuri ?
Msimu uliopita
1. Simba 2 Ihefu 1
2. Simba 1 Mtibwa Sugar 1
3. Simba 0 Prison 1
4. Simba 0 Ruvu shooting 1
Tukiwa na huyo Chama na Miquessone.
Wacha ushabiki Maandazi.
Kila mwanzo wa msimu kuna changamoto ambazo zinapofanyiwa marekebisho timu inakuwa on fire msimu mzima.Kwa hiyo unaamini ya msimu uliopita yatajirudia??
Mkuu lakini kwa yanga katika regular 11st eleven starters wao wamebadilika this season,Ni Kibwana,Feisal na Yacauba Sogne tu ndo wanaanza wengine wote ni wageni,hata pira la yanga siku izi limebadilika mkuu.Wacha majungu, Msimu uliopita mechi 4 za kwanza tulipata pointi 4.
Msimu huu mechi 4 za kwanza tumepata pointi 8.
Huoni kuwa msimu huu tumeanza vizuri ?
Msimu uliopita
1. Simba 2 Ihefu 1
2. Simba 1 Mtibwa Sugar 1
3. Simba 0 Prison 1
4. Simba 0 Ruvu shooting 1
Tukiwa na huyo Chama na Miquessone.
Wacha ushabiki Maandazi.
Ni mapema sana kuanza kukweza timu flani na kuishisha timu ningine.Mkuu lakini kwa yanga katika regular 11st eleven starters wao wamebadilika this season,Ni Kibwana,Feisal na Yacauba Sogne tu ndo wanaanza wengine wote ni wageni,hata pira la yanga siku izi limebadilika mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani walimtimua?Mwijaku........ mpira wa bongo una comedy nyingi.
Tatizo la Simba lilianzia Pale walipouzwa Chama na Konde wakati Simba hawa kuandaa mfumo wa kucheza bila Chama na Konde.
Pili kwenye usajili naona hamu kufikiria kusajili wachezaji ambao uwezo wao unakaribiana au upo sawa na walio uzwa.
Kosa jingine kumtimua Gomes kwani hata atakaye kuja atahitaji mda wa kuijenga timu,bora mngemwacha na kumpa time frame ya mechi kama tano, then kama hasinge deliver ndipo mngemtimua.
Simba ilikuwa na shida zipi miaka minne nyuma na sasa zimeongezeka zipi ?Hakuna lolote tumefel kwa makusudi tu acha yatupate aya uzipojenga ufa utajenga ukuta ,watu wanapga kelele muda mrefu kuhusu matatzo ya simba viongozi kama hawasikii pamoja na kufanya vzur karbu misimu minne lkn simba ukiangalia ilikua na shida karbu kila sehemu.
Mwaka huu tena yakaongezeka mengine kuondoka kwa chama na luis jumlsha matatzo ya uko nyuma unategemea ufanye vzur ata kama utasifiwa na vyombo vyote vya habari ,kwa usajili wa simba pamoja na wapinzan kujizatiti nilijua tu viongoz wa simba wataona dilisha dogo lipo mbali mpra wa mazoea ndio kinachoiangusha Manchester United na ndio iko iko kinaenda simba
Unashangaza sanaMwaka huu msishangae mkamalize ligi Na Simba yenu mkiwa nje ya top 5.
Msimu uliopita waliongoza ligi round ya kwanza yote baadae tutawapita tu pamoja na kutufunga mechi ya round ya piliMkuu lakini kwa yanga katika regular 11st eleven starters wao wamebadilika this season,Ni Kibwana,Feisal na Yacauba Sogne tu ndo wanaanza wengine wote ni wageni,hata pira la yanga siku izi limebadilika mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hukuona tweet ya Muddy ikisisitiza "lazima mtu awajibike ".Kwani walimtimua?
Utashangaa zaidi ligi ikiisha Mkuu.Unashangaza sana
Kukosa ubingwa kwenye ligi ni jambo la kawaida na sitashangaa chochote.Utashangaa zaidi ligi ikiisha Mkuu.
Afadhali umeongea kimpira.. maana kuna wenzio wameaminishwa kwamba Simba ikifungwa au isipochukua point 3 Basi kuna hujuma.. mawazo hatari Sana hayo.Kukosa ubingwa kwenye ligi ni jambo la kawaida na sitashangaa chochote.
Msimu uliopita Yanga mechi 1 point 1, Simba mechi 1 points 3.Wacha majungu, Msimu uliopita mechi 4 za kwanza tulipata pointi 4.
Msimu huu mechi 4 za kwanza tumepata pointi 8.
Huoni kuwa msimu huu tumeanza vizuri ?
Msimu uliopita
1. Simba 2 Ihefu 1
2. Simba 1 Mtibwa Sugar 1
3. Simba 0 Prison 1
4. Simba 0 Ruvu shooting 1
Tukiwa na huyo Chama na Miquessone.
Wacha ushabiki Maandazi.