MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Tanzania miaka hii ya karibuni tumemtoa Mshambuliaji Hatari kabisa Mbwana Ali Samatta na kiukweli ametutangaza Watanzania ma Kaitangaza vyema Tanzania yetu.
Na leo Mightier natabiri hapa hapa kuwa kwa huu Uchezaji mzuri na wa Kiwango cha Juu na cha Kimataifa anachokicheza sasa akiwa Yanga SC na Taifa Stars Tanzania tunaenda kutoa Beki wa hali ya Juu ambaye namuona akiweza Kucheza hata Ligi Kubwa duniani kama akiongezewa vitu fulani fulani vichache.
Ninaowakubali Yanga ni Aucho na Job.