Kwako Beki Dickson Job japo Mimi ni mwana Simba SC, ila kuendelea Kucheza Kwako NBC Tanzania Premier League ni sawa na Kututukana Watanzania

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Tanzania miaka hii ya karibuni tumemtoa Mshambuliaji Hatari kabisa Mbwana Ali Samatta na kiukweli ametutangaza Watanzania ma Kaitangaza vyema Tanzania yetu.

Na leo Mightier natabiri hapa hapa kuwa kwa huu Uchezaji mzuri na wa Kiwango cha Juu na cha Kimataifa anachokicheza sasa akiwa Yanga SC na Taifa Stars Tanzania tunaenda kutoa Beki wa hali ya Juu ambaye namuona akiweza Kucheza hata Ligi Kubwa duniani kama akiongezewa vitu fulani fulani vichache.

Ninaowakubali Yanga ni Aucho na Job.
 
Nakuunga mkono.

Japo mfupi kwa kimo ila ninaamini afuate njia alizopita(kukubaliwa japo mfupi) yule beki nguli wa Italia Fabio Cannavaro.

Kwangu Job ni beki bora mno kwa hawa vijana wachipukao.

Ana sifa nyingi mno.....UTULIVU WAKE ,KURUKA JUU (Kama F.Cannavaro)...kupiga pasi zenye macho(tofauti na MWAMNYETO)....kuanzisha MASHAMBULIZI ,KASI , TACKLING daah jamaa ni jembe haswa 😍👊💪🤣🙄

MWENYEZI MUNGU amlinde na kumfikisha atakako aaaamin aaaamin🙏

#DaimaMbeleNyumaMwiko😍
#1935ForEver🙏
 
Tanzania miaka hii ya karibuni tumemtoa Mshambuliaji Hatari kabisa Mbwana Ali Samatta na kiukweli ametutangaza Watanzania ma Kaitangaza vyema Tanzania yetu.

Na leo Mightier natabiri hapa hapa kuwa kwa huu Uchezaji mzuri na wa Kiwango cha Juu na cha Kimataifa anachokicheza sasa akiwa Yanga SC na Taifa Stars Tanzania tunaenda kutoa Beki wa hali ya Juu ambaye namuona akiweza Kucheza hata Ligi Kubwa duniani kama akiongezewa vitu fulani fulani vichache.

Ninaowakubali Yannga Aucho na Job.
😍
 
Tanzania miaka hii ya karibuni tumemtoa Mshambuliaji Hatari kabisa Mbwana Ali Samatta na kiukweli ametutangaza Watanzania ma Kaitangaza vyema Tanzania yetu...
Bahati mbaya sana kwake moja ya vigezo vikubwa vya beki wa kati kwa wenzetu ni height,na dogo anakosa iko..
Wenzetu wana prefer zaid mabeki wa kati aina ya kennedy,mwamnyeto ambao wanaeza kuku offer vitu vingi ndani ya box,
 
Akimpata Kocha mzuri anaweza Kumbadilisha namba na akawa anacheza Beki namba Mbili na siyo Beki namba Nne na akaimudu kwani kwa Mabeki wa Pembeni Kiufundi wanatakiwa wawe Wafupi na si Warefu kwakuwa huwa wana Kaai kuliko Mabeki Warefu wakiwa pembeni ambako huwa Wazito.

Hussein Amaan Marsha alikuwa akipenda na akimudu sana kucheza namba Nane ila alipokuja Simba SC Kocha Myugoslavia Dragan Popadic alimbadilisha na akawa anacheza Libero ( Beki wa mwisho namba Tano ) ambayo ndiyo aliicheza mpaka Taifa Stars na Kustaafu nayo.
 
Tanzania miaka hii ya karibuni tumemtoa Mshambuliaji Hatari kabisa Mbwana Ali Samatta na kiukweli ametutangaza Watanzania ma Kaitangaza vyema Tanzania yetu.

Na leo Mightier natabiri hapa hapa kuwa kwa huu Uchezaji mzuri na wa Kiwango cha Juu na cha Kimataifa anachokicheza sasa akiwa Yanga SC na Taifa Stars Tanzania tunaenda kutoa Beki wa hali ya Juu ambaye namuona akiweza Kucheza hata Ligi Kubwa duniani kama akiongezewa vitu fulani fulani vichache.

Ninaowakubali Yannga Aucho na Job.
Job ni beki fulan hivi tulivu lenye uwezo wa kupiga mipasi fulan hivi, ni Thiago Silva wa bongo yan
 
Akimpata Kocha mzuri anaweza Kumbadilisha namba na akawa anacheza Beki namba Mbili na siyo Beki namba Nne na akaimudu kwani kwa Mabeki wa Pembeni Kiufundi wanatakiwa wawe Wafupi na si Warefu kwakuwa huwa wana Kaai kuliko Mabeki Warefu wakiwa pembeni ambako huwa Wazito.

Hussein Amaan Marsha alikuwa akipenda na akimudu sana kucheza namba Nane ila alipokuja Simba SC Kocha Myugoslavia Dragan Popadic alimbadilisha na akawa anacheza Libero ( Beki wa mwisho namba Tano ) ambayo ndiyo aliicheza mpaka Taifa Stars na Kustaafu nayo.
Hapa umenena,hata kocha liweg alivyokuja simba alimkuta shomari anazima tano,
Kwa shomari alivyokua fundi na kocha alikua anataka beki wa kati mwenye kimo
Akamsogeza mbili,shomari nae akafungua moyo
Yaliyobaki ni historia.
 
Back
Top Bottom