MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Basi onyango aliebamizwa tano ni mzuriUna bahati mbaya ya kuwakubali wabovu
Mzee wa header ni kiboko huwezi kumfananisha na hao makakakuonaBasi onyango aliebamizwa tano ni mzuri
🤣🤣afu akacheze ndondi
Wazo zuri pia
😍Tanzania miaka hii ya karibuni tumemtoa Mshambuliaji Hatari kabisa Mbwana Ali Samatta na kiukweli ametutangaza Watanzania ma Kaitangaza vyema Tanzania yetu.
Na leo Mightier natabiri hapa hapa kuwa kwa huu Uchezaji mzuri na wa Kiwango cha Juu na cha Kimataifa anachokicheza sasa akiwa Yanga SC na Taifa Stars Tanzania tunaenda kutoa Beki wa hali ya Juu ambaye namuona akiweza Kucheza hata Ligi Kubwa duniani kama akiongezewa vitu fulani fulani vichache.
Ninaowakubali Yannga Aucho na Job.
Kama ulivyo wewe....!!Una bahati mbaya ya kuwakubali wabovu
Kama wabovu wanachukua ndoo mara nne mfululizo, basi nisingependa ubovu wao urekebishweKama ulivyo wewe....!!
Bahati mbaya sana kwake moja ya vigezo vikubwa vya beki wa kati kwa wenzetu ni height,na dogo anakosa iko..Tanzania miaka hii ya karibuni tumemtoa Mshambuliaji Hatari kabisa Mbwana Ali Samatta na kiukweli ametutangaza Watanzania ma Kaitangaza vyema Tanzania yetu...
Akimpata Kocha mzuri anaweza Kumbadilisha namba na akawa anacheza Beki namba Mbili na siyo Beki namba Nne na akaimudu kwani kwa Mabeki wa Pembeni Kiufundi wanatakiwa wawe Wafupi na si Warefu kwakuwa huwa wana Kaai kuliko Mabeki Warefu wakiwa pembeni ambako huwa Wazito.Bahati mbaya sana kwake moja ya vigezo vikubwa vya beki wa kati kwa wenzetu ni height,na dogo anakosa iko..
Wenzetu wana prefer zaid mabeki wa kati aina ya kennedy,mwamnyeto ambao wanaeza kuku offer vitu vingi ndani ya box,
Ndio maana kawekwa bench jana wakafungwa moja . angeanza wangepigwa mkono tenaMzee wa header ni kiboko huwezi kumfananisha na hao makakakuona
Job ni beki fulan hivi tulivu lenye uwezo wa kupiga mipasi fulan hivi, ni Thiago Silva wa bongo yanTanzania miaka hii ya karibuni tumemtoa Mshambuliaji Hatari kabisa Mbwana Ali Samatta na kiukweli ametutangaza Watanzania ma Kaitangaza vyema Tanzania yetu.
Na leo Mightier natabiri hapa hapa kuwa kwa huu Uchezaji mzuri na wa Kiwango cha Juu na cha Kimataifa anachokicheza sasa akiwa Yanga SC na Taifa Stars Tanzania tunaenda kutoa Beki wa hali ya Juu ambaye namuona akiweza Kucheza hata Ligi Kubwa duniani kama akiongezewa vitu fulani fulani vichache.
Ninaowakubali Yannga Aucho na Job.
Mtu kapiga apa na mbagala unamlaumu beki?Nashukuru kocha amesikia maoni yetu hakumpanga kibwana maana angeharibu tena
Hapa umenena,hata kocha liweg alivyokuja simba alimkuta shomari anazima tano,Akimpata Kocha mzuri anaweza Kumbadilisha namba na akawa anacheza Beki namba Mbili na siyo Beki namba Nne na akaimudu kwani kwa Mabeki wa Pembeni Kiufundi wanatakiwa wawe Wafupi na si Warefu kwakuwa huwa wana Kaai kuliko Mabeki Warefu wakiwa pembeni ambako huwa Wazito.
Hussein Amaan Marsha alikuwa akipenda na akimudu sana kucheza namba Nane ila alipokuja Simba SC Kocha Myugoslavia Dragan Popadic alimbadilisha na akawa anacheza Libero ( Beki wa mwisho namba Tano ) ambayo ndiyo aliicheza mpaka Taifa Stars na Kustaafu nayo.