Nakuunga mkono.....
Japo mfupi kwa kimo.....ila ninaamini afuate njia alizopita(kukubaliwa japo mfupi) yule beki nguli wa Italia Fabio Cannavaro.....
Kwangu Job ni beki bora mno kwa hawa vijana wachipukao......
Ana sifa nyingi mno.....UTULIVU WAKE ,KURUKA JUU (Kama F.Cannavaro)...kupiga pasi zenye macho(tofauti na MWAMNYETO)....kuanzisha MASHAMBULIZI ,KASI , TACKLING daah jamaa ni jembe haswa [emoji7][emoji109][emoji123][emoji1787][emoji849]
MWENYEZI MUNGU amlinde na kumfikisha atakako aaaamin aaaamin[emoji120]
#DaimaMbeleNyumaMwiko[emoji7]
#1935ForEver[emoji120]