Kwako Chalamila: Kuna stand ya malori imeanzishwa pembezoni mwa Magufuli Bus Terminal. This is madness

Kwako Chalamila: Kuna stand ya malori imeanzishwa pembezoni mwa Magufuli Bus Terminal. This is madness

Common Folk

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2023
Posts
909
Reaction score
4,050
Kuna CID mpya imeanzishwa alongside Morogoro Road, pembezoni kabisa ya Mbezi Daladala Stand na Magufuli Bus Terminal.

Ni nani huyu mwenye mamlaka kiasi hiki kuja kuanzisha CID pembezoni kabisa mwa vituo vikuu au vitovu vya usafirishaji wa abiria!

 
Back
Top Bottom