Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bongo wachawi wengi maamaaeh..halaf zaid wachawi wengi ni vijana hawa na si wazee kama alivyoimba vavayo.Acheni uchawi jamani. Kwani kaiba cha mtu? Na wewe Tafuta zako ujenge nyumba na kuanzisha biashara. Kwenye haya maisha kila mtu ana bahasha yake.
Unataka kusema ile ni kikHuyu chino akanunua v8 jeupe
Huyu chino akanunua jeep na BMW.
Alafu kuna kijana serious akaja hapa anaandika kwanini kanunua gari hili,
Akiweka gari hata moja plate number niambie i tuangalie database, kama yake mimi naomba nitukanwe matusi yote na natoka naafuta hii ID jf.