Huyu chino akanunua v8 jeupe
Huyu chino akanunua jeep na BMW.
Alafu kuna kijana serious akaja hapa anaandika kwanini kanunua gari hili,
Akiweka gari hata moja plate number niambie i tuangalie database, kama yake mimi naomba nitukanwe matusi yote na natoka naafuta hii ID jf.