Kwako Dr Mshindo Msola

madindigwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2017
Posts
2,488
Reaction score
2,904
Habari ya muda huu mwenyekiti wetu mpendwa Leo kwa Mara ya kwanza tumeshuhudia team yetu ya Yanga imefungwa na team kutoka mkoani
Baada ya miaka 7 kupita


Huu si mwanzo mzuri kwako mwenyekiti nakupa habari kama hujalichukulia kwa
Uzito suala la mgogoro la task force hali itakua mbaya saana kwenye team
Hawa jamaa ni wapambanaj yani wafia team wanajitolea Leo wamekuja wajuaji na wasaliti wa Yanga walio ikimbia team ndio
Wanaishugurikia team, hawa jamaa wako ki maslah wengine walikua singida united Leo baada ya kuona hakuna maslah wamerudi Yanga

Watu kama Caro's,ney,twalibu,na kundi lao wapo ki maslah zaid Mwenyekit nakusihi
Ili jumba bovu lisikuangukia tafuta hawa
Watu task force kaa nao

Tunabahat tu ya kupisha team ya taifa ila tungepotea vibaya sana nakuomba kaaa na hawa watu vinginevyo mwenyekiti unawajua mashabik wa Yanga hatuna uvumilivi nawasilisha.
 
Hii ndio shida hizi zikiwa zina hela, njaa ni ugonjwa mbaya sana kwa watanzania...Simba, Yanga na timu nyingine za
 
Hii ndio shida hizi zikiwa zina hela, njaa ni ugonjwa mbaya sana kwa watanzania...Simba, Yanga na timu nyingine za Tanzania zikishakuwa na hela tu lazima waanze migogoro...
 
Hawa Ruvu ambao huwa tunawapiga tupendavyo leo wametufunga? Daah! Nimeanza kummisi Makambooo
 
Kufungwa mechi moja mmeanza kelele!
Vumilieni ligi Bado mbichi .
 
Hahaaaaa na bado mtatafuta Sana mchawi zesco wakifanya yao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
yanga hata wakifungwa na zesco, wanaenda shirikisho, hatua ya makundi, kwa hiyo hakuna kitakachopotea, tutaendelea kuwa wa kimataifa
Siku zote badala ya kwenda mpaka robo fainali mnaangukia shirikisho, lini mtaenda moja kwa moja
 
Kule Matola atawafanya mbaya ndani ya uwanja afu nje ya uwanja WAZEE wanawasubiri wafanye fyoko....! Wawachape mpk wachakae!
Bado hamjaenda moshi, Mwaka huu una raha sana
 
Siku zote badala ya kwenda mpaka robo fainali mnaangukia shirikisho, lini mtaenda moja kwa moja
mtoto akizaliwa anaanza kwanza kutambaa, baadae ndio anatembea, sasa simba mlitaka kukimbia wakati hata kutambaa bado, matokeo yake mmeangukia pua, yanga tutaanza kwanza kuchukua shirikisho mwaka huu, mwakani ndio tunaenda kubeba klabu bingwa afrika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…