Kwako Dr Mshindo Msola

Kwako Dr Mshindo Msola

Habari ya muda huu mwenyekiti wetu mpendwa Leo kwa Mara ya kwanza tumeshuhudia team yetu ya Yanga imefungwa na team kutoka mkoani
Baada ya miaka 7 kupita

Huu si mwanzo mzuri kwako mwenyekiti nakupa habari kama hujalichukulia kwa
Uzito suala la mgogoro la task force hali itakua mbaya saana kwenye team
Hawa jamaa ni wapambanaj yani wafia team wanajitolea Leo wamekuja wajuaji na wasaliti wa Yanga walio ikimbia team ndio
Wanaishugurikia team, hawa jamaa wako ki maslah wengine walikua singida united Leo baada ya kuona hakuna maslah wamerudi Yanga

Watu kama Caro's,ney,twalibu,na kundi lao wapo ki maslah zaid Mwenyekit nakusihi
Ili jumba bovu lisikuangukia tafuta hawa
Watu task force kaa nao

Tunabahat tu ya kupisha team ya taifa ila tungepotea vibaya sana nakuomba kaaa na hawa watu vinginevyo mwenyekiti unawajua mashabik wa Yanga hatuna uvumilivi nawasilisha.

task force ndiyo kitu gani?? Kama wanaipigania Yanga wachangishane wenyewe....Hawa siyo ndiyo wale msimu uliopita waliokuwa wakifanya vurugu uwanjani mmara waipitishe timu mlango gani sijui na klabu kupigwa faini???
 
Jamaa wapambanaji sana hawa wanajitolea
 
Habari ya muda huu mwenyekiti wetu mpendwa Leo kwa Mara ya kwanza tumeshuhudia team yetu ya Yanga imefungwa na team kutoka mkoani
Baada ya miaka 7 kupita

Huu si mwanzo mzuri kwako mwenyekiti nakupa habari kama hujalichukulia kwa
Uzito suala la mgogoro la task force hali itakua mbaya saana kwenye team
Hawa jamaa ni wapambanaj yani wafia team wanajitolea Leo wamekuja wajuaji na wasaliti wa Yanga walio ikimbia team ndio
Wanaishugurikia team, hawa jamaa wako ki maslah wengine walikua singida united Leo baada ya kuona hakuna maslah wamerudi Yanga

Watu kama Caro's,ney,twalibu,na kundi lao wapo ki maslah zaid Mwenyekit nakusihi
Ili jumba bovu lisikuangukia tafuta hawa
Watu task force kaa nao

Tunabahat tu ya kupisha team ya taifa ila tungepotea vibaya sana nakuomba kaaa na hawa watu vinginevyo mwenyekiti unawajua mashabik wa Yanga hatuna uvumilivi nawasilisha.
Na wewe ni task force ulie nyimwa ulaji shubamit zako
 
mtoto akizaliwa anaanza kwanza kutambaa, baadae ndio anatembea, sasa simba mlitaka kukimbia wakati hata kutambaa bado, matokeo yake mmeangukia pua, yanga tutaanza kwanza kuchukua shirikisho mwaka huu, mwakani ndio tunaenda kubeba klabu bingwa afrika
Labda shirikisho la chama cha Tumbaku sikange Tabora
 
Back
Top Bottom