Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Here i am,muke yake smart
Na akujee kwakwel
Si unajuanga sis ni mwili mmoja,,lazima nijue unachopendaga JJ[emoji173][emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Vile unajua mpaka nyimbo ninazozipenda
Asante sana mme wangu,nakupenda sana,sana tena sana na unajua
Senkyy sana hubby wangu kwa haka ka favourite song
Easter njema mama smart911
anao mkuu...vipi unataka kujoin familia?watu mnajua kushow lov
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
mkuu hazard huyu jolie hana mdogo kweli ?
[emoji23] [emoji23] Easter njema mkuu kichwa kichafuTunapita wengine kimya kimya
Keshakuja just for you jamani muwe na Pasaka njemaNa akujee kwakwel
watu mnajua kushow lov
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
mkuu hazard huyu jolie hana mdogo kweli ?
Mdogo angu under 18 jamani, ikush huogopi miaka 30?anao mkuu...vipi unataka kujoin familia?
Sio kwa mbuzi huyu[emoji23] [emoji23]Ooouw that's good.... Somebody was calling you its good you came.
Thanks dear same to you.
Have a wonderful Easter moments na umpendaye View attachment 731072
Cc Smart911
Kichwa kichafuTunapita wengine kimya kimya
Naurudia huu wimbo mara tatu tatu naupenda sana,nakupenda wewe zaidi.Si unajuanga sis ni mwili mmoja,,lazima nijue unachopendaga JJ[emoji173]
eeeh bana,, mana majina ya jolie huwa yanasadiki,,, jolie huwaga matata sana kiumbo kisura na mengineyo [emoji16]anao mkuu...vipi unataka kujoin familia?