Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Naomba uburudike na wimbo huu kokote ulipo, nakutakia EASTER njema wewe pamoja na familia yako yote na wale uwapendao[emoji173]
THE MAFIK
kigoli ushanipiga roba kabali/
silali penzi nshacheza kamali /
natupa kwako dolali kwengne cna habar/ penzi lako tam tam hatar /
sipend kuona ukinuna we ndo furaha yangu mie mie /
yani penzi lako tam tam hatar /
unanikosha pale aeeeeh/
unavonyumbulika nyumbulika on bed /
yan dosalale umeniweza kabsa cjiwezi /
am yo passenger ooh passenger ooh baby/
THE MAFIK
kigoli ushanipiga roba kabali/
silali penzi nshacheza kamali /
natupa kwako dolali kwengne cna habar/ penzi lako tam tam hatar /
sipend kuona ukinuna we ndo furaha yangu mie mie /
yani penzi lako tam tam hatar /
unanikosha pale aeeeeh/
unavonyumbulika nyumbulika on bed /
yan dosalale umeniweza kabsa cjiwezi /
am yo passenger ooh passenger ooh baby/