Kwako Jolie Jolie wangu

Kwako Jolie Jolie wangu

Mkuu kama umewahi kuwinda ndege ukimkamata(kuna wapo ambao wanatabia ya kujificha chini kwenye nyasi) kabla unamtoa mabawa ili asije akaruke tena ghafla anakutoka mikononi na kupaa huku akikuachia baadhi ya manyoya, sasa utabaki na maumivu ya kupoteza nguvu nyingi bila tija...inauma sana mkuu
Hahahahah Mwifwa[emoji23] [emoji23] mbona umenifanya nisikitike na kucheka kwa pamoja,kwanini lakini?
 
Back
Top Bottom