Kwako Kalapina

Kwako Kalapina

vikosi makuruti

Senior Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
192
Reaction score
68
Nakumbuka miaka ya 2004/ 2010 ulikua unafanya Hiphop Music ngumu, naweza sema by that time we ndo ulikua unaongoza kwa kufanya hiphop ngumu. Nyimbo kama mstari wa mbele, umoja ni nguvu, amani, Hip hop bila madawa, hasira na nyingine nyingi. Kwa kweli you used to keep it real nilikua nakukubali sana.

Juzi juzi apa nimesikia wimbo wako mpya unaoitwa Hip hop is alive, kwa kweli Kalapina umepotea . Kubadilisha ladha ni vizuri lakini kama ladha unayoleta ni mbaya kuliko ya kwanza huna haja ya kuileta, jina la wimbo halisadifu mistari na namna ulivyochana. Umesema hiphop is alive lakini composition nzima ya wimbo yaani mistari, beat, ghani, ni bora ungeuita Hip hop is dead. Kalapina rudia enzi zako bado tunakumbuka harakati zako nabii koko,hizo waachie akina God Zilla, Country Boy, na wengine.

Come back Kalapina.
 
hakuna kitu hapo hakuwahi kuvuma na hatakuja kuvuma.!kilichopo ni kupakana mafuta tu kwa mgongo wa chupa
 
clouds wanaharibu sana,,,,,
wamembadilisha kimbunga,jamaa amekua mlaaiiini,,,sasa wako kwa kala pina,,,,
ha !!haaaa!!!!!! ndo maan juzi juzi apa kapigiwa promo ya shoo ya maisha,,,,,damn,,,

saluti kwa fid q,salu t na wasanii wengine wenye msimamo.
 
enzi zile nasoma kino clan alikuja kwenye ndondo akakaa mbali na uwanja kwa kuwaogopa real thugs..alishindwa kuishangilia timu yao ya block 41!
 
Bora angekua muigizaji tu tena sehemu ya ujambazi itampendeza zaidii
 
kalapina_l.jpg
 
Nakumbuka miaka ya 2004/ 2010 ulikua unafanya Hiphop Music ngumu, naweza sema by that time we ndo ulikua unaongoza kwa kufanya hiphop ngumu. Nyimbo kama mstari wa mbele, umoja ni nguvu, amani, Hip hop bila madawa, hasira na nyingine nyingi. Kwa kweli you used to keep it real nilikua nakukubali sana.

Juzi juzi apa nimesikia wimbo wako mpya unaoitwa Hip hop is alive, kwa kweli Kalapina umepotea . Kubadilisha ladha ni vizuri lakini kama ladha unayoleta ni mbaya kuliko ya kwanza huna haja ya kuileta, jina la wimbo halisadifu mistari na namna ulivyochana. Umesema hiphop is alive lakini composition nzima ya wimbo yaani mistari, beat, ghani, ni bora ungeuita Hip hop is dead. Kalapina rudia enzi zako bado tunakumbuka harakati zako nabii koko,hizo waachie akina God Zilla, Country Boy, na wengine.

Come back Kalapina.

Ha haaaa sure mkuu
 
hip hop is dead....mazafanta.. kazi ya wafu fm, wew nabii koko jinamiz gan limekukumba? :embarassed2::embarrassed1:
 
Back
Top Bottom