Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Rafiki acha hizo please!Mara ya ngapi
Niko poa kipenzi habari ya weweUpo salama?
Sawa nimeacha[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Rafiki acha hizo please!
Aya shemela hyo nataka kadiNiko poa kipenzi habari ya wewe
Hata, hujaniambiaKwani mimi ndio nilikwambia uitoe?
Hebu na mimi nikajaribishe!Best dawa zangu naziaminia
Shemela wapi mtu anapenda avatarAya shemela hyo nataka kadi
We nae mbona hujaweka kama ya Ushimen
HahahahaSijuu nani aliwambia wadada wa JF kuwa wanapoweka avatar nzuri kuna watu huchanganyikiwa?!!
Hivi kuna demu kaweka avatar inayotisha??
Nilikuwa namchanganya mm,Hahahaha asee, na wewe kakuchanganya mpk umeamua kubadili avatar yako sio ?
Safi Sana
DuhUyu bibie ananikosha saanaa na Yale mapozi yake kwenye Uandishii basi daaah. Nawaza awe vile navyowaza Mimi.
Haha pole sana bora endelea kutonifahamu hivyohivyoUyu bibie ananikosha saanaa na Yale mapozi yake kwenye Uandishii basi daaah. Nawaza awe vile navyowaza Mimi.