Kwako kipimo cha mke bora ni kipi?

Hajakulia usukumani amelelewa na mama kaskazini achana na kupiga hata kufoka hawezi kwa hiyo huwa sitamani hata kumkwaza

Uongo dhambi sina ex sababu alinianza nikiwa kidato cha pili akanioa baada tu ya matokeo ya kidato cha 4 niliolewa mapema
]
 
Hajakulia usukumani amelelewa na mama kaskazini achana na kupiga hata kufoka hawezi kwa hiyo huwa sitamani hata kumkwaza

Uongo dhambi sina ex sababu alinianza nikiwa kidato cha pili akanioa baada tu ya matokeo ya kidato cha 4 niliolewa mapema
]

Mungu ni Mwema, mbarikiwe sana sana sana, muishi miaka mingi pamoja?


Na hujawahi kumsaliti au yeye kukusaliti?
 
Mungu ni Mwema, mbarikiwe sana sana sana, muishi miaka mingi pamoja?


Na hujawahi kumsaliti au yeye kukusaliti?
Kwa upande wangu sijawahi hata kufikiria kumsaliti ana kila kitu nnachohitaji upendo kujali heshima kwa kila mtu si mlevi inshot ana %99 ]ya vigezo vyangu halafu hata hiyo moja sijui nimemnyima ya nini na kwa upande wake sijawhi hata kuhisi anajitahidi kuweka mazingira ya kuaminika nipo huru nae popote
 
Mke bora kwangu bado ni paradox

Hahahaha
Unaonekana uko scared kweli kweli, makovu na madonda ndugu si mchezo

Don't lose hope good things happen to good people and it will happen to you. .
 
Leo nimempigia simu mpnz wangu nikamuuliza hapendi Nini kwangu..baada ya kusoma huu uzi kaniambia hapendi nivae suruali...Aiseeee nimeshangaa Sana. Japokua huyu mwanaume Hana hela ila nampenda Sana..tatizo nimemzidi umri nayeye hajui Hilo. Hata sielewei tutafika wapi. Ila Kama mapenzi ananipenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kwa kweli ni jambo la kheri, kuna watu mpaka leo wanatafuta watu sahihi kwao alafu unakuta mtu ana miaka 40, ukikutana na mtu sahihi hapo sawa. .

Ila isije kuwa nguvu ya dawa, Tabora huko kuna mbegu fulani wanawake wanameza, kisha anainya, anaitafuta kwa mavi, akiitoa anasafisha na kumtengenezea jamaa wake msosi, yule jamaa akila tu hachomoki. Yani atabeba mtoto mgongoni na ndoo ya maji kichwani. Kuna watu wanaitaji nguvu ya dawa wafike hapo ulipo, usichezee nafasi yako hata kidogo. .
 

Mapenzi hayachagui umri, kabila au dini. Kwa hiyo kigezo cha umri kisikusumbue hata kidogo tena ufurahie umekuwa na mtu aliyekomaa akili. Anaweza kuwa babu ila akawa na michezo michafu, uswahilini wazee wengi kazi zao kupiga chabo guest house usiku watu wa ovyo ovyo tu...

Kwa kweli nikushauri kitu kama utakipokea kitakuwa ni tunu sana kwako. KAMA UMEJUA ANAKUPENDA NA UNAMPENDA, mshikilie usimwachie. Iko siku utakuja jutia, tena na wewe umri hauendi, ACHANA NA SURUALI KABISA, ZICHUKUE NENDA KAGAWE, vaa skirt na magauni tena utapendeza zaidi. .

Ila na wewe unampenda??
 
Gily mzee baba endeleza stori basi

Sent using Jamii Forums mobile app

Kama nilivykuambia wakati nazungumza nae usiku basi moyo wangu ulikuwa unafurahi sana, kwa kweli alikuwa anapenda kuniamsha usiku unakuta saa tisa au saa nane anasali namsikiliza. Nakumbuka mara kwa mara akiwa anaenda kukojoa ananambia usikate simu huku yeye nasikilizia anavyokojoa. Kipindi hicho nilikuwa bado sijalala nae kwa hiyo nilikuwa na wasiwasi sana kwani huyu anasema hajaguswa lakini utundu huu anautoa wapi?? Ila ni kweli akili yangu tu yenyewe ilikuwa inaniopa majibu ya wasiwasi


Apart from that alibadilisha dini, hicho kilikuwa kipimo kikubwa cha upendo. Sikumlazimisha ila yeye mwenyewe alibadili dini kunionyesha kuwa yuko serious na mimi, na nilivutiwa sana kwa kitendo kile. Nikapata moyo wa kumpeleka nyumbani nikamtambulishe kwa mama. Basi sijui kitu gani alikuja home tukazungumza vizuri na bi mkubwa. Nakumbuka nilivyomsindikiza kwao nikarudi home cha kwanza mama kunambia ni kuwa hakuwa ananifaa. Nilimbishia sana bi mkubwa nikatoa na maneno ya kashfa aache kufatilia maisha yangu. Nilimuliza kwani kwa kweli umekosa jambo moja zuri la kusema juu yake mpaka useme hanifai? Iliniuma sana


Nakumbuka tena kabla ya sex tulikuwa tunaromance sana, ila mchezo alikuwa anaogopa mno. Ila kila likizo ilikuwa ni romance, na haikuchagua eneo, nilikuwa namshika popote pale tulipo. Unakuta tukikaa naingiza mkono kwenye skirt, hapo tulikuwa tushakolea sana. Yani hata kwenye daladala, tukikaa siti ya nyuma basi mie kazi kuingiza mkono kwenye chupi. Kitendo kile cha kuiba iba kilikuwa kinamvuruga sana na kilimfanya anipende mno. Kuna vitu vingi nimefanya nae sidhani kama nitaweza kuvifanya na mtu mwingine....
 
mshua mapito yako yanatufunza sisi junior endelea na simulizi kila unapopata muda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongerah Sana mkuu,MUNGU awape upendo zaidi na maisha marefu

Sent using Jamii Forums mobile app,using POP 2 power
 
Nampenda kwakweli...Nampenda Sana. Nimejaribu kutafuta mtu mwingine alinizidi umri hatujafika popote. Nimeamua tu kutulia na huyu mwanaume wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hajakulia usukumani amelelewa na mama kaskazini achana na kupiga hata kufoka hawezi kwa hiyo huwa sitamani hata kumkwaza

Uongo dhambi sina ex sababu alinianza nikiwa kidato cha pili akanioa baada tu ya matokeo ya kidato cha 4 niliolewa mapema
]
Daaaaah what a lucky, huyo mume wako Ana bahati hatari,,,,ok Kila kheri piah mkuu,

Sent using Jamii Forums mobile app,using POP 2 power
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…