Kwako Lusinde na Kenani; Dkt. Bashiru aliwahi kusema maneno haya akiwa Katibu Mkuu wa CCM. Je, hamkumuelewa enzi zile?

LABDA ndio huyu!!?au TUSUBIRI Mwingine!!?

Yaani,mtu calm, patriotic, visionary,truthfully and inteligent atakaefanikisha next stage!!

Magamba matatu anasema ajaye ni muislamu tena mwenye falsafa za jpm tena mwenye nguvu sana!!!

I can feel he is the one may be!!?

Who knows!!?

Nasisitiza tena;

"Mzee warioba ajumuishwe kwenye kikosi kazi cha mkandala mchakato wa Katiba MPYA ukamilike mapema"
 
Maneno ya BUSARA TUPU anayemshambuklia huyu Dr Bashiru basi ana tatizo binafsi au ni miongoni mwa waharifu waliotajwa
 
Bashiru ana tufaa sana uhakika ni kwamba mafisadi, wapiga dili, walanguzi watalimia meno jamaa liko siriazi sana
 
Si ndie pia aliesema chama dola kushindwa uchaguzi ni uzembe wake?
Yaani uzembe wa chama?
 
Watu kama bashiru ni wazuri kwenye nchi ambayo aitaji mfumo wa demokrasia.... Vinginevyo watauwa misingi ya demokrasia..... By the way ni mtu makini sana kwenye kusimamia ukweli na uadilifu.... Hapa sina shaka naye
Ishu yake kubwa ni sina ya watu wanao fikiri mawazo Yao Yapo sahihi Kila wakati, ili Hali ni mwanadamu Kuna vitu ni lazima hawe anafikiria tofauti kabisa

Ila hakiweka itikadi za kisiasa pembeni ni kiongozi Bora na makini kuliko wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…