Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Mchungaji Joseph at Gwajima wewe ni mbunge wa jimbo la Kawe. Upo bize kweli na siasa za Sukuma Gang ukisahau zile za jimbo lako.
Taarifa iliyopo ni kwamba eneo la mecco kunduchi "mashimoni" linataka kuvamiwa. Watoto wa mjini wanalitolea macho wakidai kupisha mwendo kasi.
Wananchi hawa waliojenga vibanda vyao kwa kubangaiza hawajui waende wapi?
Tulipojaribu kufuatilia suala hili manispaa ya kinondoni na wao hawakuwa na majibu.
Aidha, taarifa zilizopo ni kwamba hakuna mradi wa mwendo kasi utkaopita hapo ila ni janjajanja ya mtoto wa kigogo ambaye alikuwa naibu wa udongo.
Tulipojaribu kufuatilia zaidi tumegundua kwamba mkuu wa mkoa wa Dar ameshiriki na kuuza eneo la mradi pale mbuyuni inapojengwa Mlimani City Mall.
Taarifa zaidi zinadai, diwani wa kata ya kunduchi akisaidiana bi BEATRICE ambaye ni kada wa CCM Kunduchi wapo nyuma ya mpango huu haram.
Diwani wa kata ya kunduchi ni bwana MICHAEL URIO ambaye ni mbia mkubwa wa bwana GWAJIMA. Kufuatia sintofahamu ya suala hili wananchi wameamua kwenda kuweka zuio mahakamani.
Wakati wa kampeni zake za uchaguzi 2020 Bwana Gwajima alidai jimbo hilo halikiwa na mbunge yaani Bi. Halima Mdee hakuwa anatolia.
Hata hivyo pamoja na kadhia yote hii mbunge wa kawe hajawahi japo kuwatembelea wananchi hawa na kujua kinachoendelea kila akitafutwa mbunge yupo bize na mambo mengine.
Wakazi wa Mecco tunakupa taarifa kwamba waliokuchagua ni wana wa kawe wakiwepo wa kunduchi na siyo SUKUMA GANG.
Chondechonde 2025 tusikuone huku kagombee kwenu.
Sisi watu wa Kunduchi Mecco.
Alamsiki