Kwako Mesut Ozil [emoji120]

Bora mimi ninaye shabikia lipuli au waya mkali. Sina tena simanzi
 
Naskia ni mambo ya matangazo.
China ndo wanunuzi wakubwa wa haki za matangazo na mechi za arsenal..

Na ozil kutokana na msimamo wake umeleta mgogoro mkali na China .

Hivyo hapangwi arsenal watakosa hela
 
Naskia ni mambo ya matangazo.
China ndo wanunuzi wakubwa wa haki za matangazo na mechi za arsenal..

Na ozil kutokana na msimamo wake umeleta mgogoro mkali na China .

Hivyo hapangwi arsenal watakosa hela
Özil ana msimamo gani kwani? Ambao unaleta mgongano wa kimaslahi
 
Me sidhani kama tatizo la Arsenal ni kocha
Nadhani Bodi ya team ndio tatizo mana hawakumpa alichoitaji wakat wa usajili thus why mpk sas hawajamtimua Aterta
Wazungu ni watu makini sana hawawezi kukuhukum kama hawajakutimizia matakwa yako
 
Ukimlaumu kocha basi haufwatili timu.. mbona inaeleweka kwanini hapangwi na hatakuja kupangwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…