Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ArsenalHiv Ozil yupo timu gani kwa sasa wakuu
Andika kijerumani, kiingerza au kituruki, hii lugha hatakuelewaOZIL OZIL OZIL...... [emoji27][emoji27][emoji27]
Brother nmekuita mara tatu [emoji18][emoji17]
Please tunakuomba Wana Arsenal shusha hyo mikono mkuu tumekomaaaaa
Inatosha Ozil tumekubali [emoji119][emoji119][emoji119]View attachment 1657560
Özil ana msimamo gani kwani? Ambao unaleta mgongano wa kimaslahiNaskia ni mambo ya matangazo.
China ndo wanunuzi wakubwa wa haki za matangazo na mechi za arsenal..
Na ozil kutokana na msimamo wake umeleta mgogoro mkali na China .
Hivyo hapangwi arsenal watakosa hela
Misimamo mikali ya kiislam na matamshi aliyowahi kuyatoa baada ya muawaji ya waislam kule chinaÖzil ana msimamo gani kwani? Ambao unaleta mgongano wa kimaslahi
Na kweli dogo ni itikadi kali,Misimamo mikali ya kiislam na matamshi aliyowahi kuyatoa baada ya muawaji ya waislam kule china
ni injary auArsenal
Yupo fiti ila kocha hana mpango naeni injary au