Kwako Mhe.Samia Suluhu Hassan, Rais wa JMT: Ikikupendeza shiriki katika ufunguzi wa safari ya SGR, Dar- Moro 14/06/2024.

KARLO MWILAPWA

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2019
Posts
2,789
Reaction score
4,951
Kwako,
Rais wa JMT Mhe.Samia Suluhu Hassan,

Nimefarijika kusikia siku ya kesho reli ya SGR itaanza safari rasmi ya Dsm-Moro. Tangu awali tulisikia kelele nyingi juu ya mradi huu wengine walifikia hatua kusema ni 'White Elephant Project' kwa maana ni mradi usio na faida zozote na ambao hautaleta faida yoyote lakini kutokana na nia na dhumuni la kuiletea nchi maendeleo hukusikiliza kelele za chura bali uliendelea kuthibitisha nia yako njema.

Mradi huu ni moja ya miradi inayotazamiwa kuleta tija na matokeo mazuri katika uchumi wa Taifa hili na pia ni kielelezo cha ukuaji wa sekta ya usafirishaji nchi na zaidi ni kielelezo cha uthubutu na utayari wa Serikali yako na pia ni jibu tosha la wote wenye kupinga utekelezaji wa miradi ya serikali kwa macho ya kisiasa.

Kwa kuwa kesho ndio safari rasmi inaanza kutoka Dsm kwenda Dar, mwananchi wako ninakuomba ushiriki kwenye safari hiyo ili uweze baraka zako katika kazi hiyo kubwa na nzuri iliyofanywa na Serikali yako na ni faraja kwetu ukiwepo ili tusheherekee pamoja safari hii ya ushindi. Ahsante Mama, kwa SGR.
 
Hakikisheni jiwe anatajwa mara nyingi sana, la sivyo hamtaelewana na walinda legasi yake.
 
Back
Top Bottom