Kwako mkurugenzi wa TANOIL: Fanya yafuatayo kuongeza mauzo kwenye vituo vya mafuta vya TANOIL ili kampuni ipate faida

Kwako mkurugenzi wa TANOIL fanya yafuatayo kuongeza mauzo kwenye vituo vya mafuta vya TANOIL ili kampuni ipate faida.

Whatsapp/call: +255687746471
Mkuu yote kwa yote waajiri PISI KALI....Vitoto flani hivi vya kimbulu ama kinyaturu.
Ataona jinsi wateja watakavyomiminika katika sheli zake. Vituo vya kujaza mafuta sasa hivi ni kama bar tu.
 
Duh, watu wanamshukuru Raisi Kwa uhuru wa kuongea? Kama kweli Kuna mbingu na moto basi mnaishi motoni tuu, viongozi kuonekana miungu mtu ni culture ya ovyo sana na ndio chanzo cha umaskini wa kujitakia
 
Vitu vingi, kwa mfano bonus, vinajirudia rudia.

Vitu Vingine kwa mfano cafe, car wash, car repair/maintainance etc vinafanywa na makampuni mengine na kwa hiyo hakuna kipya.

Kutumia wasichana wazuri/wanaovutia na kuwaacha wabaya/ wasiovutia ni ubagazi. Labda kama tanoil siyo equal opportunity employer

Sisi wateja, bei ya mafuta siyo tatizo ila tunaangalia ubora wa mafuta. Total wanapata wateja wengi kwa sababu ya ubora wa mafuta yao. Yana excellium

Halafu kuna imani iliyojengeka kwenye vichwa vyetu kwamba mashirika ya umma hayatoi huduma bora wala hawajali wateja. Ukifikiria huduma za tanesco, trl, ttcl, udart, nhif, etc hutashawishika kwenda tanoil
 
Swali 1:
Mkuu umesahau kuelezea excellium ni nini ili wauza mafuta wengine wapate kuijua.
 
Swali 2:
Hiyo excellium wanaitoa wapi wakati mafuta yote yanayotumika nchini yanaagizwa pamoja? Tunaomba ufafanuzi wa kina ili na makampuni mengine waiweke hiyo excellium kwenye mafuta yao.
 
Duh, watu wanamshukuru Raisi Kwa uhuru wa kuongea? Kama kweli Kuna mbingu na moto basi mnaishi motoni tuu, viongozi kuonekana miungu mtu ni culture ya ovyo sana na ndio chanzo cha umaskini wa kujitakia
Inashangaza sana mkuu lakini huo ndio utaratibu wetu wa salamu.
 
TANOIL Ipo kwenye reformation boss. Kweli unachosema imeshuka. Ila ipo kwenye mipango, ilipoteza mtaji mkubwa sana, baada ya ubadhirifu mwaka jana. Npo kwenye biashara ya mafuta naelewa hilo. Usikonde itakaa sawa.
 
Sawa boss tunaomba Mungu ikae sawa. Hivj hakuna njia ya kuwamonitor wabadhilifu in real time kabala hawajachota fedha.
 
Hao Tanoil waweke mfumo wa kadi kama Total,Lake oil.

Magari mengi ya mashirika,serikali na kampuni kubwa wanajaza Total kwa kutumia Kadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…