Kwako mkurugenzi wa TANOIL: Fanya yafuatayo kuongeza mauzo kwenye vituo vya mafuta vya TANOIL ili kampuni ipate faida

19.Achezeshe pump kdg
 
Hayo uliyoshauri yanaingia huku na kutoka huku kwa viongozi wa shirika la serikali...

Hawana muda kufikiria namna ya kuongeza tija...
 
.. wahamie kwenye CNG ..kama wameshakuwa na vituo sehemu mbalimbali za nchi.
..wauze mafuta yao kwa Bei elekezi ya chini kulingana na mkeka wa ewura
..promo, kwa kupitia vyombo vya habari, digital platforms, banners
..offer kwa wateja wanaorudi ...mfano lipia Lita 19 upate 20.
 
Ushauri huu wauchukue
 
Shigongo kaamia kwenye mafuta?
Shogongo ana makampuni mengi sana.
Shigongo ni mwanzilishi na mmiliki wa makampuni ya Global Group ambayo ni: Global Publishers & Ent. Ltd, Global Printways Ltd, Wezesha Mzawa Microfinance Ltd, Dar Live Company Ltd, Shigongo Oil Company Ltd na Blue Mark Real Estate Company Ltd (Kampuni zote hizi zipo Tanzania).

Shigongo ni mmiliki wa vyombo mbalimbali vya habari ikiwemo televisheni maarufu ya mtandaoni, Global TV Online na Global Radio. Global Publishers ndiyo inayochapisha magazeti ya Uwazi, Amani, Risasi, Ijumaa, Ijumaa Wikienda, Championi na Spoti Xtra.
 
Ongera yake sana
 
Wachangiaji
Hongera sana kwa uzi comprehensive kiasi hiki, changamoto nayoiona ni kwamba serikalini kuna JOB SECURITY sasa hii inaua competitiveness ya shirika...... unadhani mabosi hawajui hizi mbinu? Utashangaa bodi ya hii kampuni imejaa PhDs kibao.

Nadhani serikali ingekua inajenga vituo alafu inawapa watu binafsi kwa minajili ya franchising so faida wanakupa wao wanachukua commission wakitoa gharama za uendeshaji.

Sababu kuna KPI ina maana mtu akifeli kuifikia automatically anaondoka na menejementi nzima. Ila huu utaratibu wa mtu kulipwa mshahara regardless na anachozalisha ndio yale yale ya NIDA na NHIF, ni pure incompetence.

Twende na mfumo wa franchising, leasing n.k
 
Ni kweli kwa biashara kama ya kituo cha mafuta mfumo huu wa kuwapa watu binafsi ni mzuri.
 
Huu mfumo ni mzuri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…