kwako mkuu wa chuo, chuo cha taifa cha usafirishaji.. dar es salaam! UMETUDHALILISHA WANACHUO!

kwako mkuu wa chuo, chuo cha taifa cha usafirishaji.. dar es salaam! UMETUDHALILISHA WANACHUO!

chuo kinauza au vinatengenezwa mitaani kama vyeti vya vyuo vingine?
 
ukimya wake utazidi kuleta utata na hata kupunguza hadhi ya chuo, ni vema akatoa kauli.
 
Star b

Umesema kwa usahihi kabisa yale uliyonayo moyoni na haya yote yanatokana na uongozi mbovu wa serikali tawala ya chama cha mapinduzi na iliyopo wewe tuwekee nambari yake hewani tumpandie hewani popote pale alipo!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom