Kwako mmiliki wa kampuni ya mabasi ya SuperFeo

Kwako mmiliki wa kampuni ya mabasi ya SuperFeo

Kabla hajakubali ombi lako...muulize anawafanyia nini wafanyabishara wenzake ya usafirishaji hadi kukimbia route ya Dar Songea?? Kiufupi huyo naye hapendi ushindani ila kakutana na wachina New Force hadi kumfu zilipigwa!
Hahahaha,mkuu hii habar niliisikia juu kwa juu kipindi nilisafir kwenda songea.
Kwa hyo hapo Kuna Siri gani kwa hao wachina wanaitumia kummudu huyo Superfeo?
 
Feo nyingi kama sio zote njia ya njombe vipisi na zimechoka, zimejazana Rosa hizi fikiri, usalule basi nyingine ni sajda nae ana vipisi na kubwa 2 tu, new force ipo moja tu ya kwenda dar. Hiyo njia huwezi kuweka basi kubwa walimwachia feo
upo sawa.ninachozungumzia mimi ni basi za dar songea
 
Feo nyingi kama sio zote njia ya njombe vipisi na zimechoka, zimejazana Rosa hizi fikiri, usalule basi nyingine ni sajda nae ana vipisi na kubwa 2 tu, new force ipo moja tu ya kwenda dar. Hiyo njia huwezi kuweka basi kubwa walimwachia feo
Barabara ya kupitia ifakara mikumi ikikamilika route itakuwa fupi ko wadau wengi wataleta mabasi
 
Mtoa mada hvi zile Youtong za mashaallah DaR to kilwa bado zipo ?Alafu nilikuwa sijui kama swahili trans mmeshamkimbiza hyo njia maana jamaa aliwaletea basi youtong safi saa nne mmeshafika Dar na mchana anageuka kwenda kilwa.So cha msingi msipande basi za huyo jamaa anyejifanya hyo njia ni mali yake.
 
Kwanini waganga wengi kwenye sms wanazo tutumia hujinadi kwa kumpa ulozi huyu jamaa?
 
Back
Top Bottom