mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Hahahaha,mkuu hii habar niliisikia juu kwa juu kipindi nilisafir kwenda songea.Kabla hajakubali ombi lako...muulize anawafanyia nini wafanyabishara wenzake ya usafirishaji hadi kukimbia route ya Dar Songea?? Kiufupi huyo naye hapendi ushindani ila kakutana na wachina New Force hadi kumfu zilipigwa!
upo sawa.ninachozungumzia mimi ni basi za dar songeaFeo nyingi kama sio zote njia ya njombe vipisi na zimechoka, zimejazana Rosa hizi fikiri, usalule basi nyingine ni sajda nae ana vipisi na kubwa 2 tu, new force ipo moja tu ya kwenda dar. Hiyo njia huwezi kuweka basi kubwa walimwachia feo
Barabara ya kupitia ifakara mikumi ikikamilika route itakuwa fupi ko wadau wengi wataleta mabasiFeo nyingi kama sio zote njia ya njombe vipisi na zimechoka, zimejazana Rosa hizi fikiri, usalule basi nyingine ni sajda nae ana vipisi na kubwa 2 tu, new force ipo moja tu ya kwenda dar. Hiyo njia huwezi kuweka basi kubwa walimwachia feo
Sahau katika ilo super feo baba lao na kampuni yake nyingine ya selous uko atashusha vyuma ata 15Barabara ya kupitia ifakara mikumi ikikamilika route itakuwa fupi ko wadau wengi wataleta mabasi
swala ni wengine kuleta mabasi yeye hata ashushe mia uamzi wa nipande bus gani ni wangu unless awe peke yake,mbona newforce anapiga kazi kama kawaSahau katika ilo super feo baba lao na kampuni yake nyingine ya selous uko atashusha vyuma ata 15
Sent using Jamii Forums mobile app