Kwako mpenzi wangu

Kwako mpenzi wangu

Yaan ukishindwa kulitumia vema penz la mwanzo hakika hutoweza tambua uzuri wa mahusiano duniani.Tumia vyema mwanzo maana kubali ukatae mwisho wa mapenzi ya sasa ni uchungu na kusaga meno
 
Sikuwahi kupenda hivi kama ninavyokupenda wewe. Hisia zangu juu yako hazipimiki Kama usivyoweza kuupima ulimwengu!,umekuwa ukitikisa hisia zangu pindi nisikiapo sauti yako tamu. Hakika nimepata mpenzi nakuahidi kukutunza na kukuimbia utenzi.

Tabasamu lako hunimulika na kuuona uzuri wako!,si tu sura nzuri yenye kuvutia bali hata umbile lako zuri huutakasa moyo wangu hata kabla ya kukushika. Ngozi yako nyororo ni faraja kubwa ktk mboni zangu.

Ee malikia wangu mwenye kutikisa virija vya mishipa yangu sema nikupe nini ujionee fahari ya uhai wako? Nilipokuita uliitika,nilipokushika ulishikika. Najivunia utamu wa penzi lako murua hakika nimepata nilipopatika

Nimependa sana usumaku wako mwanamke wewe,nitakuvika taji la mapenzi ili nikuenzi kwa vitendo na kwa upendo. Kwako taabani ya moyo wangu ulietamu na furaha ya nafsi y🤣

Cc....#😍#
Sikuwahi kupenda hivi kama ninavyokupenda wewe. Hisia zangu juu yako hazipimiki Kama usivyoweza kuupima ulimwengu!,umekuwa ukitikisa hisia zangu pindi nisikiapo sauti yako tamu. Hakika nimepata mpenzi nakuahidi kukutunza na kukuimbia utenzi.

Tabasamu lako hunimulika na kuuona uzuri wako!,si tu sura nzuri yenye kuvutia bali hata umbile lako zuri huutakasa moyo wangu hata kabla ya kukushika. Ngozi yako nyororo ni faraja kubwa ktk mboni zangu.

Ee malikia wangu mwenye kutikisa virija vya mishipa yangu sema nikupe nini ujionee fahari ya uhai wako? Nilipokuita uliitika,nilipokushika ulishikika. Najivunia utamu wa penzi lako murua hakika nimepata nilipopatika

Nimependa sana usumaku wako mwanamke wewe,nitakuvika taji la mapenzi ili nikuenzi kwa vitendo na kwa upendo. Kwako taabani ya moyo wangu ulietamu na furaha ya nafsi yangu.
Chezea kufinyiwa😅mbingu ni yako..

cc..#😍#
 
Kwako Mwanamke nikupendae maishani mwangu.
Mbingu na dunia zitapita ila upendo wangu kwako hautafutika daima.. I feel like I was made to love you Mpenzi.
I don't know if you feel the same for me ila ndio ukweli wa roho yangu.
Furah na amani nayoipata nikiwa nawe Sijawahi ipata kipindi chote nilichokua hapa duniani.
Sina maneno mengi zaidi ya kusema Nakupenda sana harakati za siri and won't give up on you... On loving you truly madly deeply 🤗
View attachment 1838129
Kijana ashakolezwa ..
All the best mkuu.
 
Back
Top Bottom